Utavuna ulichopanda

Bwana kaduga

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2018
Posts
863
Reaction score
1,812
Nipo njiani naelekea shamba kuvuna mpunga kwakua ndio nilio upanda.

Kumbuka kutenda mema kwa sasa ukiwa na uhai hapa dunia kwa kuwa ndio mavuno yako hapo baadae.

JAMIIFORUM GREAT THINKERS.
 
Nipo njiani naelekea shamba kuvuna mpunga kwakua ndio nilio upanda.

Kumbuka kutenda mema kwa sasa ukiwa na uhai hapa dunia kwa kuwa ndio mavuno yako hapo baadae.

JAMIIFORUM GREAT THINKERS.

Samahani naomba kukuuliza nia yako hapa ' Kuu ' ni ipi kati ya hizi mbili?

Je unataka kututangazia na kuturingishia kwamba unamiliki Shamba na Mavuno safari umeyapata mengi?

au

Je unataka tu kutupa ' Wosia ' wa jinsi ya kuwa Binadamu wema hapa duniani?

Nitashukuru nikipata majibu juu ya nilichokuuliza tafadhali.
 
naongezea msisitizo "POLISI WA TANZANIA MTAVUNA MNACHOKIPANDA" tiini amri za anayemipa hela ya kula msahau za anayemipa pumzi. I HATE YOU. Tukio la yule mama limeniuma sana
 
Nimetaka tu kuwapa wosia wa kuwa binadamu wema hapa duniani.
 
once nilipanda boga sasa hivi ni rais wa nchi fulani
 
naongezea msisitizo "POLISI WA TANZANIA MTAVUNA MNACHOKIPANDA" tiini amri za anayemipa hela ya kula msahau za anayemipa pumzi. I HATE YOU. Tukio la yule mama limeniuma sana
Bila shaka hii ni Tanga line[emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…