Samankwejr
New Member
- Sep 8, 2021
- 1
- 0
Utawala Bora ni kipengele kipana kwa kiasi chake kwasababu ya kila mtu kuwa na mtazamo wake akiingia kwenye uongozi,nianze kwa kusema huwezi kuwa katika mfumo wa utawala Bora ukijiangalia wewe tuu,wengi wakilamba teuzi huwa na presha na hicho cheo na hufanya vitu ili kufurahisha waliowateua hivyo kushindwa kujisisimamia ingawa sio wote Kuna baaadhi Yao huwa na misimamo lakini huonekana Kama wanataka sifa Sasa ukilamba teuzi mpya uweje ili kuwa mtawala Bora?
Kwanza utambue kuwa cheo ni dhamana inaweza kuondolewa muda wowote ni vyema ukafanya Mambo ambayo watu watakukumbuka nayo hata siku ukitolewa kwenye uongozi wa awamu Fulani ikija awamu nyingine uonekane ulikua na umuhimu eneo fulani.
Shida inakuja mtu akilamba teuzi anawaza achukue chake mapema ili kusudi akibwagwa afe tayari na kitu Cha kwenda kumsaidia mbele ya safari na hapo ndipo tatizo linapoanzia ni Bora kupiga tonge kubwa Ili kwenda sambamba na mboga kuliko kulamba mboga ugali ubaki namaanisha ni Bora uwajibike kiugumu gumu kuliko uende kufanya kosa kwa tamaa ya kitu kidogo mwisho wa siku uondolewe mazima kwenye mfumo.
Nimalize kwa kusema ili uwe mtawala bora ukilamba teuzi vitu vya kuepuka ni tamaa,sifa,uonevu na kujipendekeza kupita kiasi.
Pia ili uwe mtawala bora vitu vya kufanya ukiwa kwenye nafasi yako hakikisha unafanya kitu cha kukumbukwa ukiwa umemaliza muda wako basi watu waseme ulifanya hiki na kile ingawa sio wote wanaokumbukwa kwa vitu walivyovifanya walikua watawala bora hapana kuna wengine au basi nihame kipengele hicho kingine ni kugusa tatizo au kutatua changamoto inayowasumbua wengi katika eneo ulilopo hii itakufanya watu wakupende,kingine ni kuwa na nidhamu kwa mwajiri wako hii itakufanya ulambe asali pia umtangulize mungu na sio v 8 ili kusudi akusaidie ukitanguliza v8 nyimbo ya Ferooz itakuwa ikikufariji wakati ukiwa kwenye foleni ya kusubiri arv yote kwa yote yangu haya ni mtazamo na sio msaafu hivyo sijamlenga mtu bali majadiliano asante kwa muda wenu[emoji120]

Upvote
0