SoC03 Utawala bora unahitaji watu bora

Stories of Change - 2023 Competition

Mbojo

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2011
Posts
1,593
Reaction score
1,309
Katika Nchi yenye maendeleo, walianza na maendeleo ya watu. Uboreshaji wa ustawi wa watu huleta maendeleo endelevu.

Hivyo ili uwe kiongozi bora lazima uboreshe maisha ya unao waongoza. Utawala bora utazingatia uboreshaji wa huduma kwa wananchi, mfano huduma za maji,umeme, usafiri, afya ,elimu n.k, kiongozi lazima awawezeshe anaowaongoza kuwa na uwezo wa kupata huduma kwa urahisi.

Ustawi wa wananchi utapandisha makusanyo na ndipo kiongozi ama viongozi walioko madarakani watakuwa bora. Vilevile kiongozi lazima atimize hayo yote kwa kuzingatia misingi ya katiba.
 
Upvote 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…