SoC01 Utawala bora

SoC01 Utawala bora

Stories of Change - 2021 Competition

Kahumbi Lumola

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2012
Posts
359
Reaction score
2,569
KATI YA BORA UTAWALA NA UTAWALA BORA NINI TUNATAKA?

Na Lumola Steven Kahumbi

Hakuna Taifa ambalo halina mfumo wa Utawala, kila Taifa Duniani lina mfumo wake wa Utawala. Suala sio Taifa kuwa na Bora Utawala bali ni kuwa Taifa lenye Utawala Bora. Nitadurusu dhana hizi mbili za Utawala; kisha nitatoa msimamo wangu ni bora Taifa kuwa kwenye dhana ipi kati ya hizi mbili.

Bora Utawala ni nini? Ni uwepo wa mamlaka ambayo inakuwa haina misingi ya uwazi, uwajibikaji, ushirikishaji wa watu, ufanisi, weledi, uadilifu na usawa katika jamii au Taifa kwa ujumla. Watu wanakuwa wanaweza kuwasonta kwa vidole wale ndio Watawala wetu lakini hakuna wanachojivunia kutoka kwao zaidi ya kuvumilia dhulma na mateso kutoka kwa hao Watawala.

Unakuwepo Utawala mradi tu upo lakini hakuna cha maana kutoka kwenye Utawala huo. Alama za Jamii au Taifa lenye Bora Utawala ni kama zifuatavyo; Neno la mtu ndio linakuwa sheria, matumizi mabaya ya rasilimali za nchi, umasikini, ujinga na maradhi kwa wananchi, kumea kwa mizizi ya rushwa, huduma mbaya za kijamii, kuto kuheshimiwa kwa Haki za Binadamu, Utatuzi wa migogoro kinyume cha Sheria.

Ifuatayo ni mifano miwili kati ya mingi ya kuwa na Bora Utawala;

Mosi, mnamo mwezi Agosti 2018 aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya aliamuru kukamatwa kwa Wakili Msomi Edward J. Mrosso pamoja na mteja wake ambapo baadae waliachiwa kwa dhamana. Wakili Mrosso alikamatwa akiwa katika utekelezaji wa majukumu yake kwa mteja wake. Viongozi aina ya Sabaya ndio wanazaa kitu kinaitwa Bora Utawala na sio Utawala Bora kwasababu hasa kwa kuzingatia mfano huu nilioutoa maagizo yake ni kinyume cha Tamko la Kimataifa kifungu cha 16 la Majukumu ya Mawakili la mwaka 1990 vilevile ni kinyume na Haki ya Uwakilishi kama inavyotambuliwa na Sheria ya Mawakili Sura ya 341 ya mwaka 2002.

Pili, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Mhe. A. Chalamila aliwahi kuamuru wanakijiji wa Kijiji cha Ngole wakamatwe na kuwekwa mahabusu kwa Tuhuma za uharibifu wa Miundo mbinu. Kuamuru wanakikiji wote wakamatwe ni kinyume na Haki ya Asili pamoja na dhana ya kutokuwa na hatia mpaka itakapo thibitika Mahakamani kwa mujibu wa Ibara ya 13(6) (b) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Baada ya kuona dhana ya Bora Utawala inavyokuwa na madhara yake, maelezo yafuatayo nitaelezea dhana ya Utawala Bora na faida zake.

Utawala Bora ni nini? ni matumizi ya mamlaka ambayo yanakuwa na ushirikishaji wa watu, uwazi, tija, uwajibikaji, uadilifu, ufanisi, usawa na unafuata utawala wa sheria.

Dhana ya Utawala Bora inabebwa na nguzo muhimu zifuatazo; Katiba ya kidemokrasia (yenye msingi wa maoni ya wananchi), Uhuru wa Mahakama, Uhuru wa vyombo vya habari, kulinda Haki za Binadamu, Mgawanyo wa Madaraka.

Na ili kutekeleza dhana ya Utawala Bora mambo yafuatayo ni lazima yazingatiwe; matumizi mazuri ya rasilimali kwa faida ya Wananchi, Viongozi kujua na kutambua madaraka waliyonayo na mipaka yao, matumizi sahihi ya Dola, nguvu ya kila Muhimili (hakuna muhimili unaomeza mingine) kulingana na mipaka iliyowekwa na Katiba na Sheria.

Zifuatazo ni faida chache kati ya nyingi za kuwa na Utawala Bora; kuleta ustawi wa Wananchi, kutokomeza ufisadi, matumizi mazuri ya rasilimali, kufuta ujinga, umasikini na maradhi, huduma bora za kijamii, kuheshimiwa kwa Haki za Binadamu, Utatuzi wa migogoro kwa mujibu wa sheria.

Hitimisho langu Mataifa mengi hususani katika Bara la Afrika yamekuwa yanaangukia katika ile dhana ya mwanzo ya Bora Utawala na machache yanaangukia katika dhana ya pili ya Utawala Bora. Hakuna namna maisha ya waafrika yatabadilika bila ya kila Taifa kuikubali na kuitumia dhana hii ya Utawala Bora kwasababu UTAWALA BORA ndiyo nyenzo muhimu sana ya kufanikisha ajenda kuu za Taifa lolote na za Dunia kwa ujumla ambazo ni Maendeleo Endelevu na ustawi wa wananchi kwa kulinda na kutetea Haki ili pamoja na mambo mengine kuifanya Dunia kuwa sehemu salama zaidi kwa Binadamu kuishi.
IMG-20210930-WA0002.jpg
 
Upvote 20
KATI YA BORA UTAWALA NA UTAWALA BORA NINI TUNATAKA?

Na Lumola Steven Kahumbi

Hakuna Taifa ambalo halina mfumo wa Utawala, kila Taifa Duniani lina mfumo wake wa Utawala. Suala sio Taifa kuwa na Bora Utawala bali ni kuwa Taifa lenye Utawala Bora. Nitadurusu dhana hizi mbili za Utawala; kisha nitatoa msimamo wangu ni bora Taifa kuwa kwenye dhana ipi kati ya hizi mbili.

Bora Utawala ni nini? Ni uwepo wa mamlaka ambayo inakuwa haina misingi ya uwazi, uwajibikaji, ushirikishaji wa watu, ufanisi, weledi, uadilifu na usawa katika jamii au Taifa kwa ujumla. Watu wanakuwa wanaweza kuwasonta kwa vidole wale ndio Watawala wetu lakini hakuna wanachojivunia kutoka kwao zaidi ya kuvumilia dhulma na mateso kutoka kwa hao Watawala.

Unakuwepo Utawala mradi tu upo lakini hakuna cha maana kutoka kwenye Utawala huo. Alama za Jamii au Taifa lenye Bora Utawala ni kama zifuatavyo; Neno la mtu ndio linakuwa sheria, matumizi mabaya ya rasilimali za nchi, umasikini, ujinga na maradhi kwa wananchi, kumea kwa mizizi ya rushwa, huduma mbaya za kijamii, kuto kuheshimiwa kwa Haki za Binadamu, Utatuzi wa migogoro kinyume cha Sheria.

Ifuatayo ni mifano miwili kati ya mingi ya kuwa na Bora Utawala;

Mosi, mnamo mwezi Agosti 2018 aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya aliamuru kukamatwa kwa Wakili Msomi Edward J. Mrosso pamoja na mteja wake ambapo baadae waliachiwa kwa dhamana. Wakili Mrosso alikamatwa akiwa katika utekelezaji wa majukumu yake kwa mteja wake. Viongozi aina ya Sabaya ndio wanazaa kitu kinaitwa Bora Utawala na sio Utawala Bora kwasababu hasa kwa kuzingatia mfano huu nilioutoa maagizo yake ni kinyume cha Tamko la Kimataifa kifungu cha 16 la Majukumu ya Mawakili la mwaka 1990 vilevile ni kinyume na Haki ya Uwakilishi kama inavyotambuliwa na Sheria ya Mawakili Sura ya 341 ya mwaka 2002.

Pili, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Mhe. A. Chalamila aliwahi kuamuru wanakijiji wa Kijiji cha Ngole wakamatwe na kuwekwa mahabusu kwa Tuhuma za uharibifu wa Miundo mbinu. Kuamuru wanakikiji wote wakamatwe ni kinyume na Haki ya Asili pamoja na dhana ya kutokuwa na hatia mpaka itakapo thibitika Mahakamani kwa mujibu wa Ibara ya 13(6) (b) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Baada ya kuona dhana ya Bora Utawala inavyokuwa na madhara yake, maelezo yafuatayo nitaelezea dhana ya Utawala Bora na faida zake.

Utawala Bora ni nini? ni matumizi ya mamlaka ambayo yanakuwa na ushirikishaji wa watu, uwazi, tija, uwajibikaji, uadilifu, ufanisi, usawa na unafuata utawala wa sheria.

Dhana ya Utawala Bora inabebwa na nguzo muhimu zifuatazo; Katiba ya kidemokrasia (yenye msingi wa maoni ya wananchi), Uhuru wa Mahakama, Uhuru wa vyombo vya habari, kulinda Haki za Binadamu, Mgawanyo wa Madaraka.

Na ili kutekeleza dhana ya Utawala Bora mambo yafuatayo ni lazima yazingatiwe; matumizi mazuri ya rasilimali kwa faida ya Wananchi, Viongozi kujua na kutambua madaraka waliyonayo na mipaka yao, matumizi sahihi ya Dola, nguvu ya kila Muhimili (hakuna muhimili unaomeza mingine) kulingana na mipaka iliyowekwa na Katiba na Sheria.

Zifuatazo ni faida chache kati ya nyingi za kuwa na Utawala Bora; kuleta ustawi wa Wananchi, kutokomeza ufisadi, matumizi mazuri ya rasilimali, kufuta ujinga, umasikini na maradhi, huduma bora za kijamii, kuheshimiwa kwa Haki za Binadamu, Utatuzi wa migogoro kwa mujibu wa sheria.

Hitimisho langu Mataifa mengi hususani katika Bara la Afrika yamekuwa yanaangukia katika ile dhana ya mwanzo ya Bora Utawala na machache yanaangukia katika dhana ya pili ya Utawala Bora. Hakuna namna maisha ya waafrika yatabadilika bila ya kila Taifa kuikubali na kuitumia dhana hii ya Utawala Bora kwasababu UTAWALA BORA ndiyo nyenzo muhimu sana ya kufanikisha ajenda kuu za Taifa lolote na za Dunia kwa ujumla ambazo ni Maendeleo Endelevu na ustawi wa wananchi kwa kulinda na kutetea Haki ili pamoja na mambo mengine kuifanya Dunia kuwa sehemu salama zaidi kwa Binadamu kuishi.View attachment 1957793
Hongera Lumola umeandika andiko zuri sana. Nimependa ulivyonukuu vifungu vya Katiba na sheria mbalimbali
 
Umetisha #Lumola #Utawala #bora
 
Safi sana Lumola umetisha kwenye Utawala Bora
 
Jumbe makini sana kaka. Hongera sana kiongozi, #inspiring the Youth
 
Andiko bora kabisa
#Lumola #Utawala #Bora
Hongera sana Mwanasiasa Msomi Lumola Steven umefunika aisee. Andiko zuri sana
 
Ahsante Sana kaka yangu lumola Kwa SoMo zuri ni fupi lakini linaeleweka hakika unaupiga mwingi Sana. Be blessed alot.

Tunasubiria makala nyingine🙏
 
Back
Top Bottom