Walisema hivyo Sudan, Iraq, Libya hata chama cha Moiππ Hapo Tanzania ni matter of time wakitokea wanajeshi, polisi na usalama ambao hawataki ujinga ujinga nchi inabadilikaNa hiyo ikimaanisha kwamba, ni wazi CCM ndio chama cha siasa cha mwanzo na mwisho kuitawala Tanzania. Hakuna uwezekano, wala hakuna dalili za kuwepo kwa chama kingine cha siasa cha kuitawala Tanzania au kuongoza serikali ya wananchi wa Tanzania badala ya CCM. Ama kwa hakika CCM ni mpango wa Mungu mwenyewe.
CCM includes all that can be together, and fairly and squarely holding everything on behalf of good people of the beautiful republic of Tanzania.
Harambee kuhusisha kila mtanzania popote alipo sio jambo dogo au la kawaida. Na hapo ndipo kila mdau anashuhudia uzalendo na umoja wa waTanzania katika kuitetea CCM na kuitetea serikali sikivu ya CCM.
Kidumu Chama Cha mapinduzi.π
Mungu Ibariki Tanzania.
Naunga mkono hoja kwa asilimia 100% na huu ndio ukweli wa mambo, kama kuna anayebisha. abishe kwa kujifurahisha tuu yeye na nafsi yake!Na hiyo ikimaanisha kwamba, ni wazi CCM ndio chama cha siasa cha mwanzo na mwisho kuitawala Tanzania. Hakuna uwezekano, wala hakuna dalili za kuwepo kwa chama kingine cha siasa cha kuitawala Tanzania au kuongoza serikali ya wananchi wa Tanzania badala ya CCM. Ama kwa hakika CCM ni mpango wa Mungu mwenyewe.
CCM includes all that can be together, and fairly and squarely holding everything on behalf of good people of the beautiful republic of Tanzania.
Harambee kuhusisha kila mtanzania popote alipo sio jambo dogo au la kawaida. Na hapo ndipo kila mdau anashuhudia uzalendo na umoja wa waTanzania katika kuitetea CCM na kuitetea serikali sikivu ya CCM.
Kidumu Chama Cha mapinduzi.π
Mungu Ibariki Tanzania.
Na hiyo ikimaanisha kwamba, ni wazi CCM ndio chama cha siasa cha mwanzo na mwisho kuitawala Tanzania. Hakuna uwezekano, wala hakuna dalili za kuwepo kwa chama kingine cha siasa cha kuitawala Tanzania au kuongoza serikali ya wananchi wa Tanzania badala ya CCM. Ama kwa hakika CCM ni mpango wa Mungu mwenyewe.
CCM includes all that can be together, and fairly and squarely holding everything on behalf of good people of the beautiful republic of Tanzania.
Harambee kuhusisha kila mtanzania popote alipo sio jambo dogo au la kawaida. Na hapo ndipo kila mdau anashuhudia uzalendo na umoja wa waTanzania katika kuitetea CCM na kuitetea serikali sikivu ya CCM.
Kidumu Chama Cha mapinduzi.π
Mungu Ibariki Tanzania.
Naunga mkono hoja kwa asilimia 100% na huu ndio ukweli wa mambo, kama kuna anayebisha. abishe kwa kujifurahisha tuu yeye na nafsi yake!
PKupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
Wanabodi, Leo tena naendelea na zile Makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa. Topic yangu ya leo ni kutuhusu sisi Watanzania, ili tupate maendeleo ya kweli, ni lazima tujifunze kuupokea na kuubali ukweli halisi ulipo, ukweli bayana, hata huo ukweli ukiwa mchungu vipi, ukweli ni ukweli tuu, na siku...www.jamiiforums.com
,
Mama kawekwa? πNi kweli chini ya rais rostuum na waziri mkuu habinderi singer, na mama kawekwa
Sasa kobe akiwa juu ya mtu si kawekwa mkuu?Mama kawekwa? π
Dahhh
Sasa kobe akiwa juu ya mtu si kawekwa mkuu?