Utawala wa Ki-ndugu na Ki-Ukoo unaitafuna Tanzania

Nchi hii ina wenyewe na ndiyo hivyo

Nyie pambaneni kwa urefu wa kamba zenu

Ova
 
kazi kweli kweli
 

umesahau USA mbona ndugu na kikoo wanawekana mfano tosha Trump.
umesahau UK tena ukoo wa elizabeti wanapeana vyeo.
umesahau URUSI kwa putini,Umesahau uganda,umesahau kwa kiduku
 
Hata tabia ya chadema kujaza wachaga tupu ikomeshwe

Au ulimaanisha wale wachagga wa mwendazake tokea ile kanda pendwa?

Hao si ndiyo Maza sasa inasemekana yuko kwenye purge?
 
Mwenyekiti wa maisha mh.Mbowe ni msimamizi wa chama Cha familia....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…