Utawala wa Nyerere vyeo vya juu vya nchi akihakikisha kunakuwa na mkatoliki ,muislamu na mprotestanti
Mfano raisi akiwa Raisi makamu anaweka muislamu waziri mkuu mprotestanti
Mfano Nyerere akiwa Raisi makamu muislamu waziri mkuu mprotestanti Msuya na malecela
Alifanya hivyo kuleta umoja wa nchi wa dini kubwa zenye wapiga kura wengi