PLATO_
Senior Member
- Jan 25, 2020
- 116
- 230
Hawa waRoma ni watu wenye akili sana, imagine walianzisha kanisa la Roman Catholic, kanisa lenye waumini wengi duniani tena wenye misimamo mikali.
WaRoma wamejaribu kufika kila kona ya dunia. Imagine ni utajiri gani waliokuwa nao waRoma Wanamakanisa, Shule, vyuo, fremu za kupangisha etc, Zote hizo ni pesa. Hizi sadaka tunazotoa makanisani hupelekwa Vatican city Mji mkuu wa Roma.
Kwa Maana hiyo tunatoa sadaka halafu zinaenda kujenga nchi nyingine. Serikali inachukua mapato kama kawaida ila ninaimani huku utakatishaji pesa ni mkubwa mno.
Roman Catholic wamefika sehemu mbali mbali za dunia lakini nchi zenye siasa za mlengo mkali wa kushoto kama North Korea zimepiga marufuku kanisa hii pamoja na misikiti kuendesha shughuli zao.
Hakika huu ni utawala wa Roma. Ulianzisha 503BC na upo kimfumo zaidi hakika waRoma wamefanikiwa.
Najaribu kufikiria kwanini serikali isianzishe Tempo ambalo sisi Watanzania ambao hatutaki kuwachangia waItaly na waarabu tuwe tunaenda kuabudu.
Unajua hizo tempo zikitapakaa tanzania nzima na zikawa na waumini hakika Pato la taifa litaongezeka.
Communist tutairule hii nchi siku moja.