babacollins
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 901
- 212
Timu bora siku zote huwa na wachezaji bora wa akiba. Baadhi ya makocha huangalia utayari wa mchezaji aliyepo benchi wakati mechi inaendelea. Miongoni mwao vitu wanavyofatilia ni;
Wakati mwingine sio rahisi sana kumuelewa kocha anapoamua kuendelea kumuweka mchezaji benchi. Utayari wa kimwili na akili ni muhimu sana.
Ni mimi mchezaji kiongozi.
- Timu yake inapopata bao anaonesha hisia gani
- Timu yake inapofungwa anaonesha hisia gani
- Timu yake inapokosa bao anaonesha hisia gani,
- Timu inapoelekea kushinda au kushindwa anakuwa na hisia gani,
Wakati mwingine sio rahisi sana kumuelewa kocha anapoamua kuendelea kumuweka mchezaji benchi. Utayari wa kimwili na akili ni muhimu sana.
Ni mimi mchezaji kiongozi.