Shule za Rwanda kuna somo la ki ChinaNi ukweli kwamba mwegemeo wa dunia kwa sasa "global economic activity " umejilengesha bara la Asia hasa mataifa ya Uchina, Indonesia na India pamoja na Falme za Kiarabu. Hakuna ubishi tena kwamba enzi au zama za umangimeza wa nchi za Magharibi umeshafikia mwisho.
Nchi zinazoendelea kwa sasa zinajilengesha Asia sio Paris Club tena au IMF nk. Uchina ndo kashika hatamu.
Tz lipo. Na kuna walimu walipelekwa china mwaka 2020Shule za Rwanda kuna somo la ki China
Tanzania niitegemea tujifunze toka Enzi za TAZARA.
pole kwa sisi
bora iwe ivo,hawa wazungu wanazingua sana!!Ni ukweli kwamba mwegemeo wa dunia kwa sasa "global economic activity " umejilengesha bara la Asia hasa mataifa ya Uchina, Indonesia na India pamoja na Falme za Kiarabu. Hakuna ubishi tena kwamba enzi au zama za umangimeza wa nchi za Magharibi umeshafikia mwisho.
Nchi zinazoendelea kwa sasa zinajilengesha Asia sio Paris Club tena au IMF nk. Uchina ndo kashika hatamu.
Bandiko limekaa kihisia zaidi kuliko uhalisia! Duniani tunategemeana kwenye nyanja zote!Ni ukweli kwamba mwegemeo wa dunia
Hujanielewa....Tz lipo. Na kuna walimu walipelekwa china mwaka 2020
dominance yao inakwenda kuonekana very soon na sidhani hata Dollar kama itarudi kuwa na nguvu kama ilivyokuwa hapo kabla. Imagine ni mwaka naa sasa dollar haipatikani mtaani na uhaba wake upo maeneo mengi duniani. The West is falling.China,India na Mrusi japo ni Mzungu ila hayupo pamoja na wamagharibi hawa miaka inayokuja na BRICS yao watakua na nguvu sana
Hivi Japan ipo Maghreb au mashrikBandiko limekaa kihisia zaidi kuliko uhalisia! Duniani tunategemeana kwenye nyanja zote!
Swali: Taja mataifa ya Asia na Mashariki ya kati yaliyozizidi nchi za magharibi upande wa teknolojia??
Ukisoma vizuri between lines utaona uzi unatumia uendelezo, which means the West iko kwenye hatua za kuanguka...hao jamaa sasa hivi hata ku service miundombinu yao tu wameanza kushindwa...wana fund sana military activities wamejisahau kujenga chumi zao...East haipambani na vita ila wao West wanahangaika na nukes...they're loosing big time...soon China atakuwa kiongozi wa hii dunia akifuatiwa na Urusi then Western watakuwa tatu na kuendelea huko...facts zipoBandiko limekaa kihisia zaidi kuliko uhalisia! Duniani tunategemeana kwenye nyanja zote!
Swali: Taja mataifa ya Asia na Mashariki ya kati yaliyozizidi nchi za magharibi upande wa teknolojia??
wanaogeamea Magharibi ni vibaraka tu saivi 🐒Ni ukweli kwamba mwegemeo wa dunia kwa sasa "global economic activity " umejilengesha bara la Asia hasa mataifa ya Uchina, Indonesia na India pamoja na Falme za Kiarabu. Hakuna ubishi tena kwamba enzi au zama za umangimeza wa nchi za Magharibi umeshafikia mwisho.
Nchi zinazoendelea kwa sasa zinajilengesha Asia sio Paris Club tena au IMF nk. Uchina ndo kashika hatamu.
Jifunze kwanza kuandika.Halafu kaulize huko kwamba tunaposema 'Western world' tunamaanisha nini, halafu je, Japan ipo au haipo?Hivi Japan ipo Maghreb au mashrik
Siku zote dola huwa zina mwisho wake. Kwa kumbukumbu tu, kulikuwa na dola ya Warumi (Roman Empire), dola ya Waturuki (Ottoman Empire), dola ya Waingereza (British Empire) na hawa mabeberu wa Marekani. Kwa sasa Wamarekani ndio wako mwishoni kabisa mwa utawala wao wa dunia, kwa saa dunia inaelekeza machi India na China. Ni suala la historia tu, wala haihitaji sayansi ya kwenda mwezini.Ni ukweli kwamba mwegemeo wa dunia kwa sasa "global economic activity center of gravity " unajiegemeza bara la Asia hasa mataifa ya Uchina, Indonesia na India pamoja na Falme za Kiarabu. Hakuna ubishi tena kwamba enzi au zama za umangimeza wa nchi za Magharibi umeshafikia mwisho.
Nchi zinazoendelea kwa sasa zinajilengesha Asia sio Paris Club tena au IMF nk. Uchina ndo kashika hatamu.
Ndugu, hakuna uhalisia kwenye bandiko lako, zaidi ni zilezile hisia na siyo mantikiUkisoma vizuri between lines utaona uzi unatumia uendelezo
Unaona unaona unavyokosa mantiki!East haipambani na vita ila wao West wanahangaika na nukes...they're loosing big time...
Lete hizo facts usilete hisia na mahaba! Mimi naanza! Naanza na China!soon China atakuwa kiongozi wa hii dunia akifuatiwa na Urusi then Western watakuwa tatu na kuendelea huko...facts zipo