Utegemezi. . .

Haya niambie mzigo wenyewe uko koje nikupe maujanja.

heheheh yaani hapa kwenye watu wengi ndo niseme?? Akhaa......njoo nyuma ya pazia ( though I know u know it lol)! Kwa ivo we niandalie matrick tu!!!
 
heheheh yaani hapa kwenye watu wengi ndo niseme?? Akhaa......njoo nyuma ya pazia ( though I know u know it lol)! Kwa ivo we niandalie matrick tu!!!

Definately nat here. . . matrick sio ya kila mtu haya.
I'm waiting. . . .
 
Asante baba yetu wa MMU. . . hopefully watu watajifunza kitu.
 
Lizzy asante kwa huu uzi .
Nimeupenda kwa kweli natafakari ntarudi kuchangia kwa undani zaidi..
 
Nafikiri wengi wetu huwa tuna-miss hapo kwenye bluu....wanasema manners huwa zinaanzia nyumbani na zinaanzia na vitu vidogo sana kama wakati wa kula na kumaliza jinsi gani mtu anavyo behave suala la kutoa vyombo mezani wengine huwa ni ishu.

Pia nafikiri kuna ile elimu ya jinsi gani kujitegemea kifikra na kimawazo sio wengi wenye elimu nafikiri ni kutokana na kuona kwamba mzazi anapashwa kukupa kila kitu no matter hata ukiwa umefikia umri wa miaka 20 na kuendelea (hii ni kwa baadhi ya watu sio wote)
 

I guess watu hua wanaishi kwenye "NOW MOMENT",kumfurahisha mtoto kwa muda ule bila kifikiria kwa namna gani hayo wanayowapa sasa hivi yatawafaidisha hapo baadae.

Hilo la pili wazazi wenyewe ndio wanaowazoesha watoto wao hivyo, wao ndio waowapa hizo fikra kwa kuwafanyia kila kitu badala ya kuwaonyesha njia na kuwaacha wafike wanapotaka wenyewe.Ni sawa na kumbeba paka kwenye gunia ukaenda kumtupa sehemu ambayo hailewi wala hajui amefikaje.Kurudi nyuma hawezi,kujiendeleza pale pale kunakua kugumu basi anabaki akitapa tapa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…