Utekaji Hai ,Lema kuhitaji viza kwenda hai ni figisu za kawaida,Dc sabaya ni shujaa wa awamu ya tano,millard ayo alikosea kuomba radhi

Utekaji Hai ,Lema kuhitaji viza kwenda hai ni figisu za kawaida,Dc sabaya ni shujaa wa awamu ya tano,millard ayo alikosea kuomba radhi

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
2,430
Reaction score
5,779
Haina haja ya kulialia sana hata waziri Jafo alisema figisu katika chaguzi ni vitu vya kawaida sana hata Israel na Marekani vipo cha muhimu ni vyama vya upinzani kuonyesha ukomavu na kujiongeza kama walivyofanya Renamo au Unita

Wapinzani wanadeka sana juzi katekwa kiongozi wao huko hai na kulazimishwa kusoma taarifa aliyoandikiwa kwamba wilaya ya Hai hawakubaliani na uamuzi wa makao makuu kujitoa uchaguzi uliondaliwa kitaalamu kabisa na serikali sikivu iliyojaa upendo na inayojali amani na mashikamano wa Watanzania yaani awamu ya tano

Wasichojua wapinzani kwamba figisu ni lazima, JASUSI LA TISS a.ka EAGLE 3 DC Sabaya lipo pale hai kimkakati kumkomesha mtu fulani kwa hiyo ni jembe la awamu ya na jamaa ni hatari linakamata hadi majambazi yanayotaka kuvamia benki kabla hata polisi hawajajua

sasa mtu katekwa ,Lema hatakiwi kuingia hai bila ruhusa ya Eagle 3 wapinzani wanalialia tu mitandaoni wakati figisu hata Isarel na Marekani zipo, wamekosa ukomavu wakisiasa

Mwisho kwako Millard Ayo, wandishi wako waliitwa kwenda ku cover story ya mtekwaji na jasusi bobefu linalosimamia maslahi mapana ya taifa wewe unasimamisha kazi hao waandishi na kuomba radhi kama ndalakyuya
 
una haraka ya kwenda wapi,,? hebu tulia, uandike vizuri ili tuelewe
 
Mbona unaandika kama ndio umetolewa chumbani muda huu?
 
Wazazi sio lazima tuzae zae ovyo..uzazi wa mpango ungetumika kwa huyu mpumbavu tusingeona haya mapumba hapa JF
 
Back
Top Bottom