BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Kwaza ieleweke utekaji uko almost Dunia nzima. Ila tunazidiana njia na mazingira ya utekaji.
Kwa Tanzania mazingira ya utekaji ni mepesi sana ni kiasi tu cha watekaji kusema sisi ni Police basi wanaondoka na mtu.Haya mazingira yanachagizwa sana uzezeta wa sisi Wabongo, lazima tukubali kwamba ukondoo umetulemea sana na impact zake ndio kama hizi za utekaji wa kirahisi rahisi sana.
Tutekwe yesi ila sio kirahisi kwamba watu tu wanakuja wanasema wao ni Police basi wanaondika na raia na tubabakia kusema walikuja wakasema wao ni police.
Hata Kenya kuna utekaji ila sio kwa staili hizi za Tanzania. Hizi staili zetu ni za kikondooo sana.
Mfano, Huyo mzee alishushwa kwenye basi kirahisi sana na abiria wanajua fika mazingira ya sasa yalivyo still wakakakaa kimya kabisa kisa tu watekaji wamejitambulisha wao ni Police.
Ukondooo utatucost sana
Soma Pia: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana