Utekelezaji wa Bajeti 2018/19 kwa watumishi wa Umma, utafanyika lini?

Utekelezaji wa Bajeti 2018/19 kwa watumishi wa Umma, utafanyika lini?

Joined
Jul 18, 2020
Posts
9
Reaction score
15
Niwakumbushe Serikali ya CCM mnaenda katika Uchaguzi mkiwa na deni la Madaraja. Wapo watumishi walitakiwa kupanda madaraja katika bajeti ya 2018/19 mpaka leo bado haijatakelezwa.
 
Kupanda madaraja kwa sasa haiwezekani kwani bado yanajengwa kwanza.
 
Malimbikizo ya mshahara hujanilipa alafu nikupe kura Mungu anilaani
 
Back
Top Bottom