Utelezi wa uke

Binti1

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2013
Posts
667
Reaction score
1,760
Nimesoma na nimesikia sehemu mbalimbali kua ulaji wa bamia sana na nyanya chungu unasaidia uke kua na utelezi.Hali inayopelekea kupunguza michubuko wakati wa kujamiiana.

Sijui kama hii iko "proven scientifically" ila tu ningependa kufahamu kama kuna uhusiano wowote kati ya k yenye itelezi na ulaji wa mboga hizi. Madaktari, Nutritionist na wengineo please enlighten me.

Natanguliza shukrani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…