dickson thadeo
New Member
- Nov 4, 2016
- 2
- 1
Suala la ajira limekuwa tatizo kubwa sana nchini na ukiangalia kila kukicha watu wanaongezeka na wengine kujikuta wakiwa katika msongo wa mawazo licha ya kuwa na elimu lakini wanashindwa kuhimili hali ya kimazingira na ushindani uliopo hivyo kupelekea wengine kujiua na wengine kukata tamaa, hii hutokana na ufinyu wa ajira ukilinganisha na idadi ya watanzania lakini pia ongezeko la wageni nchini!
Bahati mbaya sana kumekuwa na wafanyakazi wasiojituma na wengine ulevi uliopindukia hivyo kupelekea kupwaya kwa baadhi ya shughuli za kimaendelo na wakati mwingine kusababisha ugomvi kati ya viongozi wa kuchaguliwa mfano Madiwani, wabunge na Rais, wakati mwingine matatizo ya ulawiti na ushoga chimbuko Lake ni viongozi kushindwa kuwajibika kwasababu mtu anaona akishapata kazi tayari kashamaliza kwahiyo wakati mwingine hawezi kuwajibika ipasavyo!
Binafsi naona kubadilisha mfumo wa ajira itasaidia uwajibikaji kwa wafanyakazi na hivyo kupunguza baadhi ya tabia ambazo zimekuwa zikijirudia mara kwa mara hivyo napendekeza mfumo uwe hivi;
KUWE NA MPISHANO KATIKA KILA IDARA NA SEKTA MBALIMBALI YANI KILA MFANYAKAZI AWE NA MBADALA WAKE NA KILA MMOJA AFANYE KAZI KWA MUDA WA MIEZI MIWILI AMA MITATU MFULULIZO NA KISHA AMPISHE MWINGINE MWENYE VIGEZO KAMA VYAKE KUFANYA KAZI KWA MUDA WA MIEZI MIWILI; MFANO MWALIMU AFANYE MIEZI MIWILI THEN AMPISHE MWALIMU MWINGINE MIEZI MIWILI ILI KUMPA NAFASI KILA MMOJA KUJITAFUTIA RIZIKI WAKATI HAYUPO SERIKALINI KWA MIEZI ILE MIWILI NA HII ITASAIDIA KILA MMOJA KUWA NA NIDHAMU YA KAZI NA MATUMIZI YA PESA, KILA MMOJA ATAFANYA KAZI KWA BIDII AKIJUA KUWA NIKIFANYA KAZI VIBAYA MIEZI HII NITAPOKONYWA NA ATAPEWA MWINGINE AMBAYE BADO KABISA HAJAINGIA KWENYE MFUMO HIVYO BASI, MFUMO HUU UKIFANYIWA KAZI KWA MIAKA MITANO KUNA KITU KITAONGEZEKA KATIKA UZALISHAJI NA HIVYO KULETA MAENDELEO YA NCHI,, hii ina maana gani?
Mfano tuchukue katika sekta ya afya na ualimu ambazo ni Sekta pia zenye watu wengi, mfano ukichukua jumla ya wafanyakazi wa sekta ya afya na elimu labda mfano iwe mil. 1.5 hawa ndo wanaoingia kazini hivyo tukiweka mbadala hapa mil.1.5 tutakuwa tumetatua tatizo la watu mil 1.5 katika ajira na pia tutaweka mkakati kila mmoja anapofanya kazi katika miezi yake miwili kabla hajaondoka anapaswa kukabidhi ripoti yake ya mwezi kwa mkuu wake wa kazi ili anapoingia mwingine ajue mwenzake kaanzia wapi na kaishi wapi, hii itasaidia kuwapa akili mpya hata baadhi ya wafanyakazi wanaoleta biashara zao sehem zao za kazikwa ajili ya kutafuta riziki nje na kazi zao hivyo kuitumia fursa hii kuwapa nafasi kufanya zaidi kwasababu tayari watakuwa na mitaji na tutakuwa tumewasaidia wengi ambao wanatafuta mtaji hata wa sh.500,000 kuanzisha biashara mpya lakini hawana uwezo wa kupata hiyo pesa, katika hili tutapunguza kufanya kazi kwa mazoea na hivyo kutoa somo kwa kila mfanyakazi kuwa akifanya vibaya muda wowote ataondoka na atampisha mwingine, hapa ni mfano tu katika sekta mbili hii ikifanyiwa kazi vizuri hasa katika nafasi mbali mbali itasaidia sana kupunguza tatizo la ajira na kuongeza uzalishaji zaidi na hivyo kuleta maendeleo katika nchi:
Natamani maeneo yatakayoguswa hasa yawe maeneo ambayo yana wasomi wengi sana katika kila nafasi kama ifuatavyo:
1. Walimu kada zote
2. Afya kada zote
3. Watendaji wa vijiji/mtaa, kata na makatibu tarafa
4. Wahandisi kada zote
5. Maafisa maendeleo ya jamii ngazi zote
6. Maafisa kilimo ngazi zote
7. Maafisa utumishi ngazi zote
8. Maafisa ugavi na manunuzi
9.Maafisa wanyamapori ngazi zote
10.Maafisa rasilimali watu
Na kada nyingine ambazo hazihusishi au kugusa Jeshi la Polis, Magereza, JWTZ kada nyingine za Ulinzi na usalama kwa sabab hizi zikiguswa inaweza hatarisha hali ya kisalama zaidi mtaani kwa wananchi! Hizo ni baadhi ya nafasi zinazoweza kuguswa kwa kufanya rotation ya wafanyakazi na hivyo kusaidia kupunguza athari za watumishi kushindwa kufanya kazi na hivyo kupunguza uzalishaji!
Hii ikifanyika kwa umakini itasaidia kuwapa utayari watu kufanya kazi kwa bidii kwasababu kutakuwa na ushindani kwasababu kila mmoja atatikiwa kufikia kile alichoambiwa kufanya kwa miezi miwili ama mitatu na hivyo kuweka jitihada zaidi ili kufika malengo aliyowekewa! Lakini pia kuwe na mazingira mazuri kwa wale watakaokuwa wamepumzishwa miezi ile miwili ama mitatu, mfano serikali inaweza kuweka mfuko kwa ajili ya watu kama hao kuwapa fursa ya mikopo ili wanapokuwa katika likizo hizo kwa wale wenye uelewa na biashara za kujichanganya mitaani wafanye wakiwa huru lakini malipo yao watalipa kupitia mishahara yao ili wakiwa liziko wasikae tu bila kuzalisha hivyo watazalisha mara mbili, moja katika utumishi wao serikalini na mbili katika shughuli zao binafsi za kila siku!!
Mfumo huu utakuwa na faida sana kwa watu wote kwasababu kila raia ana haki ya kupata ajira na wengi wamekuwa na ndoto za kutamani kufanya kazi serikalini lakini hawapati na wanaokuja kupata kazi serikalini wanazichezea kwa kufanya kama ni sehem ya kujipatia pesa tu na hivyo kusahau uwajibikaji wao lakini kama kutakuwa na ROTATION KWA WAFANYAKAZI itasaidia kupunguza mambo kama hayo na hivyo kusaidia asilimia kubwa ya watu kupata atleast mitaji na si ajabu wengine ndo wakapitia humo kuja kuinua wengine kila mtu ana ndoto zake,, ukiangalia serikalini kuna watu wengi wapo huko kwa kuwekwa tu lakininuwajibikaji wao ni sifuri sasa watu kama hawa utawatambua kwa kuwalinganisha na watu wenye kiu ya kufanya kazi, watu wengi waliopo mtaani wana ari kubwa ya kufanya kazi lakini nafasi nzo imekuwa ngumu kulingana na wingi wa watu katika nchi yetu!!
HIVYO NI MUDA SASA SERIKALI KUBADILISHA MIFUMO NA SIO KUKAA NI MIFUMO YA KILA SIKU MIAKA YOTE, KWA WAKATI HUU KULINGANA. A IDADI YA WATU NI VIZURI KUFANYA JAMBO AMBALO LITAMGUSA MTU KWASABABU KAMA ITAFANYIKA ANGALAU HATA KWA WATU WAWILI WAWILI KWA KILA NAFASI NINA UHAKIKA TUTAPUNGUZA GAP KUBWA SANA LA UKOSEFU WA AJIRA NA KUONGEZA UZALISHAJI NA KATIKA HILI HALITAATHIRI ONGEZEKO LA BAJETI YA SERIKALI KWA WAFANYAKAZI KWA SABABU MSHAHARA UTAKUWA ULE ULE ILA TU WATU NDO WANAPISHANA KAZINI KWAHIYO TUZINGATIE,
"Huku ndo kuinuana kwa upendo na kusadiana lakini Leo mfanyakazi anayelipwa mshahara anamsisitiza jobless ajiajiri hali yeye kaajiliwa" tunapaswa kulipata hili joto la jiwe wote ili hata ukiipata hiyo hela uitumie vizuri ukijua utakuwa na miezi miwili bila kazi na hivyo kuweka heshima pengine baadhi ya matukio tutayapunguza na kuyasahau!!
JAMBO HILI LINAWEZEKANA KAMA TUKIAMUA JAPO MWANZO TUTAUMIA NA KUKASIRIKA LAKINI NINA IMANI TUTAEWA NDANI YA MIAKA MITANO TU LITATUPA MAJIBU MAZURI

Upvote
3