Chachasteven
JF-Expert Member
- Jul 4, 2014
- 1,941
- 2,044
Jamani Mimi nliahirisha masomo mwaka Jana nlipangiwa education UDOM.
Ila sikufanya usajili wowote chuoni hapo baada ya wao kunambia nafasi za kozi za afya watu wameshafanya transfer wametosha.
Nlirudi nyumbani wazazi wakanambia niende TCU kusitisha, nlienda TCU wakasema ukiacha chuo kama unamkopo unapeleka taarifa heslb tuu, ila kwetu hamna shida unaomba tu hata kama ukuleta taarifa.
Ila wakanambia vizuri ukiandika barua ukaacha hapa TCU pia.
Nliandika barua hiyo mwezi wa 4 tarehe 12 2015 then nlirudi nyumbani.
Sasa majina ya batch one yametoka na Mimi nkifanya application bado ina niambia already registered .
Embu jamani nipeni ushauri au ndo barua tukiacha wanaziweka kwenye kapu.
Nimerudi tena kwa Mara ya pili kupeleka tena confirmation letter ya UDOM Leo siku NNE zimepita tangu kuipeleka lakini bado naambiwa already registered.
Embu mlioahirishaga vyuo miaka ya nyuma mtuelekeze mlikuwa mnafanyaje labda Mimi nakosea kuandika barua au maelezo nliyowapa hayajitoshelezi?
Kiukweli sipati usingizi?