Wasalaam sana wakuu!
kicha cha mada hii kinahusika sana,Nimevutiwa na jitihada za mifuko ya hifadhi ya jamii katika kuwapatia watumishi nyumba bora katika utaratibu uliowekwa,
Dhumuni la uzi kualika wote wenye uelewa hili suala tujadiiane na kupeana mawazo mbalimbali katika eneo hili,nawasilisha!