Jama ni shida kwa watumishi hasa sekta ya elim idara ya TSD walimu wana wakati mgumu kitu ambacho walimu hushindwa kufanya kaz na kuwa watu wa kuomba uhamisho kila Mara,ni wilaya isiyo zingatia kupandisha madaraja mwl anaweza kaa miaka 7 ndo anapanda,na KATIBU hata hata wasiwasi,idara nyingine ni utumishi hawa nao wanapewa doc za kubadili salar za watumish zina maliza miez ni blablaa tu,jama saidieni walim Uyui tupeni no za wizara maana tumechoka,