MTANZANIA620
Member
- Jun 20, 2023
- 65
- 81
Kasi ya utendaji ya Mbunge wa Jimbo la Vunjo Mhe Dkt Charles Stephen Kimei katika utekelezaji wa majukumu yake unatajwa kuwavutia wengi akiwemo aliyekua mgombea ubunge Jimbo la Vunjo katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 ambaye pia ni Katibu wa ACT WAZALENDO katika Jimbo hilo Ndg Idd Mfinanga
Akizungumza baada ya kukabidhi kadi yake katika mkutano wa ufunguzi wa kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 zilizofanyika eneo la Pofo barabara ya Kilema Ndg Mfinanga amesema anaridhishwa na kasi ya utendaji ya serikali ya CCM inayoongozwa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan pamoja na wawakilishi wa wananchi wakiwemo madiwani na Mbunge wa Jimbo hilo Mhe Dkt Charles Stephen Kimei.
Soma Pia: Dkt. Charles Kimei: Samia amefanya makubwa Vunjo