Utendaji wa TAKUKURU mkoa wa Ilala kwa kipindi cha Aprili hadi Juni, 2020

Utendaji wa TAKUKURU mkoa wa Ilala kwa kipindi cha Aprili hadi Juni, 2020

Nyendo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,336
Reaction score
4,731
TAKUKURU yasema katika kipindi cha Aprili hadi Juni 2020 imefungua kesi mpaya 5 na mashauri 22 yanaendelea mashauri hayo ni kama ifuatavyo,

Mamlaka ya Mapato (TRA) Mashauri 3, serikali za mitaa mashauri 3, wafanyabiashara mashauri 2,idara ya afya mashauri 4, ujenzi (TANROADS) shauri 1, utapeli shauri 1,elimu ya juu mashauri 2,mahakama shauri , Taasisi za fedha shauri 1, Vyama vya siasa mashauri 3 na Maji(DAWASA)shauri 1. Pia TAKUKURU mkoa wa Ilala imeshinda kesi 3.
 

Attachments

Back
Top Bottom