Utendaji wa Train ya SGR uboreshwe

Utendaji wa Train ya SGR uboreshwe

Ayasanda

Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
38
Reaction score
40
Wakuu tupo Morogoro na train yetu pendwa ya SGR ila ni mateso.

Kabla ya kufika Morogoro tulisimama kama saa zima kwa kisingizio kuwa wanabadili njia. Tumefika Morogoro mpaka sasa tuna dakika 20 bila kuambiwa chochote.

Immediate action zinatakiwa kuchuliwa ili kunusuru ufanisi wa train yetu pendwa.

PIA SOMA
- Treni ya SGR yazimika tena Morogoro!
 
Hiyo taarifa wengi wanaficha, tunakushukuru kwa kufichua
 
Back
Top Bottom