Wadau naona fursa ya ujasiliamali kwenye hizi barafu za kufunga yes hizi hizi za watoto wa Shule.Naamini nikizitengeneza zenye radha nzuri nitauza.
Sasa tatizo ni ujuzi wa kuzitengeneza Kama unautaalamu wa kutengeneza barafu hizi za Mia Mia naomba Sana unipe maujuzi.
Ntashukuru Sana.
Sasa tatizo ni ujuzi wa kuzitengeneza Kama unautaalamu wa kutengeneza barafu hizi za Mia Mia naomba Sana unipe maujuzi.
Ntashukuru Sana.