Utengenezaji/uhokaji wa mikate

Joined
Feb 19, 2014
Posts
42
Reaction score
8
Jamani wana Great thinkers, Mimi nimejaribu kufanya research yangu binafsi ya biashara na kugundua sehemu ninayoishi biashara ya mikate inalipa sana kwani huwa inafuatwa mbali ili ije kuizwa hapa.
Najitokeza kwenu kwa wenye uzoefu/ujuzi wa uhokaj, anisaidie kujua vifaa vinavyoitajika pia mtaji ambao utaniwezesha kuanza biashara hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…