stunnacarter2015
JF-Expert Member
- Apr 7, 2017
- 463
- 1,288
Mimi yangu hupenda kuchanganya rosela na ukwaju ulioiva pamoja na tangawizi na ndimu hua na ladha nzuri sanaWasalam wakuu wote,
Twende moja kwa moja na kichwa cha habari, kuna juice (cocktail) ya rosela kwa anayefahamu utengenezaji wake jamani anisadie.
Mchana mwema kwa wote!
Ouh aiwi chachu sana lakinMimi yangu hupenda kuchanganya rosela na ukwaju ulioiva pamoja na tangawizi na ndimu hua na ladha nzuri sana
- chemsha rosela na ukwaju kidogo pamoja
- acha ipowe kwa muda kisha chuja
- weka maji kulingana na concentration unayotaka
- weka maji ya ndimu kiasi na tangawizi na sukari
- enjoy your cocktail😛
walaa sio chachu kama utaizimua vya kutoshaOuh aiwi chachu sana lakin
ni maua flani ivi mekundu hua yanakaushwa jina jengine yanaitwa karkadeRosela ni nini?? Naomba kufahamu
Sorry hamira vijiko viwiliChukua maua ya rosela chemsha kwa muda wa dakika kumi na tano.kisha chuja weka sukari koroga na juicy yako inakua tayari
Waweza weka kwa fridge ili iwe na mzuka zaidi.hiu ni simple waye vile vile unaweza changanya na viungo ingine kama commenter wa kwanza alivyosema
NB
Waweza tengeneza pia rosela wine kwa kuchemsha gram 400 ya rosela kwa maji lita 5 kisha sukari kikombe 1 cha chai then unatia hamira 2 tea cups baada ya hapo unaiacha ichachuke kwa muda wa 1 week
Sie tunaitaga mdamudamu!ni maua flani ivi mekundu hua yanakaushwa jina jengine yanaitwa karkade
Rosela ni nini?? Naomba kufahamu
Kwetu tunaitaga choyaSie tunaitaga mdamudamu!
Shukran sanawalaa sio chachu kama utaizimua vya kutosha
yanasaidia sana kuongeza damu piaSie tunaitaga mdamudamu!
choyaRosela ni nini?? Naomba kufahamu
Uwiii nimecheka huo mlipuko pole nduguMkuu hapo kwenye wine naomba unifafanulie zaid ukitengeneza unaweka wap maana nilijaribu siku niliweka kwenye vidumu matokeo yake vdumu vilibust na mlio mkubwa kama bomu teena ilikua ni siku ya pili toka nisindike asa sijui n wap nilienda hovyo
Mchanganyiko wa vinywaji visivyo na kilevi huitwa mocktail na vilivyo na kilevi huitwa cocktailWasalam wakuu wote,
Twende moja kwa moja na kichwa cha habari, kuna juice (cocktail) ya rosela kwa anayefahamu utengenezaji wake jamani anisadie.
Mchana mwema kwa wote!
Maya ya choyaRosela ni nini?? Naomba kufahamu
Ouh asante kwa kunijuzaMchanganyiko wa vinywaji visivyo na kilevi huitwa mocktail na vilivyo na kilevi huitwa cocktail
Nawe piaOuh asante kwa kunijuza
Heri ya mwaka mpya lakin..