Utengenezaji wa Mishumaa

Utengenezaji wa Mishumaa

Mamndenyi

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
43,242
Reaction score
60,939
Wakuu nawasalimu wote,

Naomba mwenye kuelewa namna ya kutengeneza mishumaa anidokeze.
Nafuatilia hili kwa ajili ya kikundi chetu pale kanisani.

Heshima mbele wakuu.
 
Unadhani mtaepuka gharama na kusevu kwa sana mkijitengenezea wenyewe?...ni ya kuuza?

Well, ukipata mahitaji toka kwa wanajamvi anzia kwenye karatasi kwanza, piga cost-benefit analysis, ndipo uwashashauri wenzio...Uko kikundi cha WAWATA nini?
 
Mkuu unachohitaji ni mashine za kutengenezea mishumaa au ujuzi wa jinsi ya kutengeneza mishumaa??. Anyway huenda unahitaji vyote. Nimewahi kufanya kazi SIDO kama Engineer kwenye workshop iliyoko Moshi. Tulikuwa tunatengeneza mashine za kutengenezea mishumaa. Mashine husika zilikuwa na uwezo wa kutoa mishumaa minnne mpaka 16 kulingana na unene wa mshumaa. Challenge kubwa ni jinsi ya kupata raw material. Wasiliana kwa namba 0754 399922 kwa maelezo zaidi. Nakumbuka tumewahi kuuza katika vikundi vingi hasa hapa Dar na makanisani.
 
Nakushukuru kwa ushauri,
tunataka mishumaa ya kuuza,
lengo ni kutengeneza ile mikubwa ya kanisani,
Bila shaka tunaweza kupata faida ila itabidi niweke kwenye makaratasi
kama ulivyonishauri.

Siko hicho kikundi mimi ni mwenyekiti wa kwaya moja
makanisa ya kkkt,
tunaangalia namna ya kuinua mapato ya kwaya
kwa kuwa tukitengeneza hiyo mishumaa tutawauzia waumini
pale pale.

Unadhani mtaepuka gharama na kusevu kwa sana mkijitengenezea wenyewe?...ni ya kuuza?

Well, ukipata mahitaji toka kwa wanajamvi anzia kwenye karatasi kwanza, piga cost-benefit analysis, ndipo uwashashauri wenzio...Uko kikundi cha WAWATA nini?
 
Asante Mkuu,
Kwa sasa hitaji kubwa siyo mashine,
hitaji kubwa ni material gani inatumika,
kwa kuwa tunaanza kutengeneza ile mikubwa,
tutatumia mbadala wa mashine mkuu,
Kama unakumbuka ni material gani
naomba unirushie mkuu.

Mkuu unachohitaji ni mashine za kutengenezea mishumaa au ujuzi wa jinsi ya kutengeneza mishumaa??. Anyway huenda unahitaji vyote. Nimewahi kufanya kazi SIDO kama Engineer kwenye workshop iliyoko Moshi. Tulikuwa tunatengeneza mashine za kutengenezea mishumaa. Mashine husika zilikuwa na uwezo wa kutoa mishumaa minnne mpaka 16 kulingana na unene wa mshumaa. Challenge kubwa ni jinsi ya kupata raw material. Wasiliana kwa namba 0754 399922 kwa maelezo zaidi. Nakumbuka tumewahi kuuza katika vikundi vingi hasa hapa Dar na makanisani.
 
Raw material ya kutengenezea mishumaa inapatikana sana nadhani maeneo ya Kariokoo kuna wahindi walikuwa wanaagiza kutoka India. Hata locally kuna watu wana process hasa maeneo ya Dodoma na Singina au Tabora sehemu ambazo kuna ufugaji wa nyuki ili kupata nta ambayo hutumika kuzalisha mishumaa. Wasiliana na ofisi yoyote ya SIDO iliyokaribu nawe wanaweza kukupa network ya kupata raw material.
 
Asante mkuu kwa ushauri wako
nitafanya hivyo,
kila la kheri mkuu wangu.

Ukishapata hayo mahitaji nirushie na mimi kwa ajili ya kwaya ya Wamama kanisani kwetu. Utakuwa umewasaidia na hawa Wamama pia.
 
Back
Top Bottom