Utengenezaji wa rangi za maji

Utengenezaji wa rangi za maji

haitham2

New Member
Joined
Aug 13, 2022
Posts
2
Reaction score
0
Habari za jion wana jf wenzangu?

Bila kupoteza muda naomba niende kwenye madahusika moja kwa moja. Kama kuna mtu anafaham sehemu zinapopatikan malighafi kwa ajili ya utengenezaji wa rangi za maji iwe mkoa wowote naomba atujuze.
 
Back
Top Bottom