H haitham2 New Member Joined Aug 13, 2022 Posts 2 Reaction score 0 Oct 9, 2023 #1 Habari za jion wana jf wenzangu? Bila kupoteza muda naomba niende kwenye madahusika moja kwa moja. Kama kuna mtu anafaham sehemu zinapopatikan malighafi kwa ajili ya utengenezaji wa rangi za maji iwe mkoa wowote naomba atujuze.
Habari za jion wana jf wenzangu? Bila kupoteza muda naomba niende kwenye madahusika moja kwa moja. Kama kuna mtu anafaham sehemu zinapopatikan malighafi kwa ajili ya utengenezaji wa rangi za maji iwe mkoa wowote naomba atujuze.
Crocodiletooth JF-Expert Member Joined Oct 28, 2012 Posts 20,561 Reaction score 24,428 Oct 10, 2023 #2 Chokaa, + rangi za ukili upendazo +(hii sitaji mpaka laki moja iwekwe hapa)
H haitham2 New Member Joined Aug 13, 2022 Posts 2 Reaction score 0 Oct 11, 2023 Thread starter #3 Crocodiletooth said: Chokaa, + rangi za ukili upendazo +(hii sitaji mpaka laki moja iwekwe hapa) Click to expand... Ni vyema lakin nahitaji kujua hayo maduka yanayouza ivyo vitu
Crocodiletooth said: Chokaa, + rangi za ukili upendazo +(hii sitaji mpaka laki moja iwekwe hapa) Click to expand... Ni vyema lakin nahitaji kujua hayo maduka yanayouza ivyo vitu