Utengenezaji wa sabuni za mche

Utengenezaji wa sabuni za mche

Njegele

Member
Joined
Aug 3, 2014
Posts
61
Reaction score
100
Naomba mnisaidie nawezaje kupata faida kwenye utengenezaji wa sabuni ya mche,nizingatie vitu gani?
 
Njegele Hakikisha ukizitengeneza unaziuza kwa wateja.

Zipende, zipendezeshe zipendeke!

Ona mfano jamaa wa JAMAA, walizivalisha vizuuuuri nguo sabuni zao. Kila mtu akapenda zilivyopendeza. Jamaa akauza sana na sasa hivi kila mtu anamuiga jamaa.

Nikikuwa niwe kama Jamaa asee
 
Back
Top Bottom