Njegele Member Joined Aug 3, 2014 Posts 61 Reaction score 100 Apr 20, 2023 #1 Naomba mnisaidie nawezaje kupata faida kwenye utengenezaji wa sabuni ya mche,nizingatie vitu gani?
Uhakika Bro JF-Expert Member Joined Mar 29, 2022 Posts 3,644 Reaction score 4,315 Jun 20, 2023 #2 Njegele Hakikisha ukizitengeneza unaziuza kwa wateja. Zipende, zipendezeshe zipendeke! Ona mfano jamaa wa JAMAA, walizivalisha vizuuuuri nguo sabuni zao. Kila mtu akapenda zilivyopendeza. Jamaa akauza sana na sasa hivi kila mtu anamuiga jamaa. Nikikuwa niwe kama Jamaa asee
Njegele Hakikisha ukizitengeneza unaziuza kwa wateja. Zipende, zipendezeshe zipendeke! Ona mfano jamaa wa JAMAA, walizivalisha vizuuuuri nguo sabuni zao. Kila mtu akapenda zilivyopendeza. Jamaa akauza sana na sasa hivi kila mtu anamuiga jamaa. Nikikuwa niwe kama Jamaa asee