Kamaka
JF-Expert Member
- Jun 7, 2010
- 563
- 33
mahitaji
karanga mbichi kilo 1
supu ya ng'ombe lita 2(UNAWEZA KUINUNUA,AU KUITENGENEZA MWENYEWE)
maji lita 2
chumvi (kwa kiasi unachoridhika nacho)
pilipili(kama utahitaji)
limao(kama utahitaji)
maandalizi
twanga karanga mpaka zisagike
weka maji jikoni yakishaanza kupata vuguvugu,weka karanga zilizosagwa,
subiri mpaka zichemke kisha weka supu ya ng'ombe,koroga mchanganyiko huo kwa dakika 30.weka chumvi ,
supu ipo tayari kutumika.
waweza kunywa na ndizi za kuchemsha/kukaanga ,mkate,
unaweza kuweka pilipili au limao kama utapenda