Habari zenu wakuu wa humu jf
naombeni msaada kwa anayefahamu juu ya utengenezaji wa vyungu vya kisasa vya maua anipe ABC juu ya mchakato mzima kam vifaa .a mahitaj mengne na pia juu ya upatikanaji wa soko
kama unafahamu lolote tupia comment apa wakuu
swala la ajira limekuwa changamoto hivo nipo katika harakati za kutafuta fursa mbalimbali kam kijana.
asanteni wakuu nimatumain yangu tutapeana madini ya kujikomboa kiuchumi kam vijana