Kwa katiba hii mbovu na useless ya ccm ya mwaka 1977, wacha tu wateuane kwa kutumia vigezo vyao. Maana hakuna namna nyingine.
Tutapiga kelele weee na kulalamika humu mitandaoni!! Watatuangalia tu kwa dharau, halafu watacheka na kuendelea na mambo yao. Nothing will happen.