Raia Fulani JF-Expert Member Joined Mar 12, 2009 Posts 11,478 Reaction score 3,659 Jul 26, 2010 #1 Wadau nimeonelea Jukwaa kulitembelea Chujio kulisemelea Wasione laelea Chujio litazame Lilivyo kifalme Ndo nikaona niseme Hadi niwe mkame Chujio lile la tui Kama ulikuwa hujui Chujio sio adui Ni rafiki wa uhai Halina gharama asilani Bali lina thamani Kama chumvi mezani Kwa chakula kinywani Alitumia mwanamke Japo si lake Alifanyia makeke Chakula kiwe mwake Chujio lavutia Kwa kuliangalia Umbole maridhia Ndo wanavolisifia Wanawake mlithamini Popote litunzeni Kabatini na sirini Liwape tui makini :violin:
Wadau nimeonelea Jukwaa kulitembelea Chujio kulisemelea Wasione laelea Chujio litazame Lilivyo kifalme Ndo nikaona niseme Hadi niwe mkame Chujio lile la tui Kama ulikuwa hujui Chujio sio adui Ni rafiki wa uhai Halina gharama asilani Bali lina thamani Kama chumvi mezani Kwa chakula kinywani Alitumia mwanamke Japo si lake Alifanyia makeke Chakula kiwe mwake Chujio lavutia Kwa kuliangalia Umbole maridhia Ndo wanavolisifia Wanawake mlithamini Popote litunzeni Kabatini na sirini Liwape tui makini :violin:
Kimey JF-Expert Member Joined Mar 25, 2009 Posts 4,117 Reaction score 833 Jul 26, 2010 #2 Kingi said: [/COLOR][/B][/FONT] Liwape tui makini :violin: Click to expand... You can say it again!!
Noname JF-Expert Member Joined Feb 8, 2010 Posts 1,269 Reaction score 29 Jul 26, 2010 #3 Chujio ndio nini?
kaburunye JF-Expert Member Joined May 12, 2010 Posts 672 Reaction score 79 Jul 26, 2010 #4 mafumbo yako ni mengi, twaomba tufumbulie sikiliza ndugu kingi, tafasiri tupatie tumekikwaa kigingi, naomba tusaidie chujio unalosema, maana yake ni nini.
mafumbo yako ni mengi, twaomba tufumbulie sikiliza ndugu kingi, tafasiri tupatie tumekikwaa kigingi, naomba tusaidie chujio unalosema, maana yake ni nini.
Raia Fulani JF-Expert Member Joined Mar 12, 2009 Posts 11,478 Reaction score 3,659 Jul 26, 2010 Thread starter #5 Nyie watu wazima bwana. Mlipaswa kusoma katikati ya mistari kupata maana. Kama vipi nitawatafsiria baadae sana
Nyie watu wazima bwana. Mlipaswa kusoma katikati ya mistari kupata maana. Kama vipi nitawatafsiria baadae sana