Utesaji wa Wachina kwa Waafrika kwa kigezo cha Uwekezaji

Utesaji wa Wachina kwa Waafrika kwa kigezo cha Uwekezaji

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Wawekezaji wa kichina wamekuwa Wakiwatesa sana Wafanyakazi Wao wa kiafrika.
.
Kwenye hii video inaonesha mchina akimpiga mfanyakazi wake huku akisaidiwa na Mtu mweusi.
.
Inasemekana mchina na Huyo Msaidizi wake wamekula mvua na mahakama ya Rwanda.
.
Unyanyasaji Huu uko sehemu kubwa sana barani afrika
 

Attachments

  • jamiiforums_1650524919515539.mp4
    2.1 MB
Sasa kama upo nchini kwako na bado unateswa wewe si takataka tuu!

Baadhi ya Waafrika ni kama swala mbugani, akiwa vichakani ataonewa, akiwa msituni ataonewa, akienda majini ataonewa na mamba. Eboo!

Watu wa hivyo unawaacha hivyo hivyo
 
Back
Top Bottom