Kama hujui.Ndiyo maana wakurdi hubaguliwa Iraq Syria Turkey na Iran, vijamaa vinafki sana
Utake nchi ndani ya nchi?..wapashtun ni wengi Afghanistan na Pakistani,wanatakiwa Wadai nchi yao?..wamasai na wamakonde pia Wadai nchi yao?Kama hujui.
Kurdish are Iranic people na kama umewahi kuwasikia watu wanaitwa Medes ndio asili ya Wakurd.
Salhadin muanzilishi wa Ayyubid empire alikuwa Mkurd.
Kitu ambacho Wakurd wanataka ni Nchi
Kuna jamii kubwa tofauti na wakurdi mbona hawakudai nchi!??Kama hujui.
Kurdish are Iranic people na kama umewahi kuwasikia watu wanaitwa Medes ndio asili ya Wakurd.
Salhadin muanzilishi wa Ayyubid empire alikuwa Mkurd.
Kitu ambacho Wakurd wanataka ni Nchi
Wakurd ndio Jamii kubwa duniani isiyo na Taifa, alafu kaa ujue kuwa wakurd walikuwa wana autonomy kabla ya Skyes-Picot agreementKuna jamii kubwa tofauti na wakurdi mbona hawakudai nchi!??
Kwahiyo na hizo jamii zingine zidai nchi pia kwasababu ni jamii kubwa kama wakurdi!??
Ilete hiyo autonomy ilikua inaitwaje!??Wakurd ndio Jamii kubwa duniani isiyo na Taifa, alafu kaa ujue kuwa wakurd walikuwa wana autonomy kabla ya Skyes-Picot agreement
Mataifa yote ya middle East leo ni matokeo ya watu wawili Skyes-Picot waliyagawa mataifa hayo kwa namna ambayo Watu mahasimu wakawa nchi moja. Wakurd walipaswa kuwa na Taifa lao.Ilete hiyo autonomy ilikua inaitwaje!??
Wacha ubishi usio na tija,kuna jamii kubwa sana kuliko kurdi na wala hawakudai kuwa na taifa.
Ukisema hapo kila jamii idai taifa basi kutakua na mamia ya taifa kutoka Iran.
Quds ni miongoni mwa jamii ya watu wengi kuliko kurdi na hawajadai taifa.
Kwanini kurdi wapaswe kuwa na taifa lao!??Mataifa yote ya middle East leo ni matokeo ya watu wawili Skyes-Picot waliyagawa mataifa hayo kwa namna ambayo Watu mahasimu wakawa nchi moja. Wakurd walipaswa kuwa na Taifa lao.
Washia, Wassuni n.k