Utetezi uliotolewa na mawakili wa ZOMBE.

JokaKuu

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2006
Posts
34,188
Reaction score
62,952
..hii ni habari ya kwanza kuhusu kesi ya kina Zombe ambayo imeandikwa bila ushabiki wa upande wowote.

..kuna tabia miongoni mwa waandishi wa habari kuandika habari toka mahakamani ktk hali ya ushabiki-shabiki.

..habari toka mahakamani zinatakiwa kuandikwa bila dramatization ya aina yoyote ile.

..ufuatao ni utetezi wa mawakili wa Zombe na washitakiwa wengine.

 
..upande wa mashtaka nao umetoa utetezi ufuatao hapa chini.

..sasa tusubiri hukumu itakayotolewa na Justice Masati.

 
Zombe anahusika na mawakili wake hawana uwezo wa kumtowa na makosa haya. Katika utetezi wao wanataka ushahidi wa mtu mwengine zaidi ya walioshiriki, ivyo nani atategemea mpango huo wa mauwaji utasikizwa na mtu mwengine zaidi ya wahusika? Au wakili mwengine anatowa hint kuwa inawezekana kuwa waliouliwa ni majambazi kweli. Kama mawakili wao wangeweza kuifanya mahakama iamini kuwa mauwaji hayo ni sehemu ya mapambano na majambazi pengine kungekuwa na uwezekano wa kina Zombe kuachiliwa.
 
Kesi ya kujibu anayo. They just have to connect the dots. Mazingira ya tukio lenyewe na maelezo ya mawakili wa Zombe na Bageni yanajichanganya. Wakazi wa Sinza waliohojiwa kuhusu kama kulikuwa na mapigano ama la, wote walidhibitisha kwamba hakukuwa na mapambano. Na kama kweli polisi ilipambana nao pale Sinza na kuwakamata, iweje tena wakaenda kuuwawa huko kwenye msitu wa Pande? Hawa majambazi walitoroka polisi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…