Utetezi wa dr. Louis

Tuendelee kuzidi kumjua dr shika, na ametushika haswaa
 
Hata kama ni kuichukia Chadema sio kihivyo mkuu[emoji4]

Siichukii Chadema ila wenyewe ndiyo wanajipa majanga kupeleka misukule kwenye chama chao. Yaani kila mwenye kasoro LAZIMA atachukuliwa na chadema, jiulize kwanini?
 
Siichukii Chadema ila wenyewe ndiyo wanajipa majanga kupeleka misukule kwenye chama chao. Yaani kila mwenye kasoro LAZIMA atachukuliwa na chadema, jiulize kwanini?
Kwa hiyo walio CCM wote wasafi? Haya ndugu
 
Bashite anajifanya nunda mchapa kazi Luis XVI ni kiboko yake

Don't mind me
 
Exactly.
Wa kulaumiwa ni Dalali.
Ili kuokoa jahazi wanunue wale waliofika bei ya million ie waliopandiliwa dau na Dr.
Neno itapendeza lilitosha sana kumtia upofu Dalali na kupoteza neno million kama mzizi wa thamani ya Mali husika.
 
Lakini si ndiyo ukweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…