Utetezi wa kitoto wa promoters wa disaster la Dimaond Ujerumani

Joined
Apr 27, 2006
Posts
26,584
Reaction score
10,400

- Yaani this is the waste excuse nimewahikusikia toka niaze kushiriki entertainment industry simply .......

Le Mutuz
 
Yani kwanza huu uandishi wa herufi kubwa si mzuri!

Lakini hapa Mimi natoa lawama kwa Diamond na Manager wake maana nikiangalia hapa Diamond alikuwa anafanya kazi za manager wake!
 
Kudadadeki hiki ni kizungu au
Yaani nasoma huku nacheka maana huyo mwandishi duuuuuuh sio mchezo inaonyesha jinsi gani alivyo mtupu kichwani kama kuibiwa ni halali yake.
 
Babu Tale anaona utamu tu kupanda ndege? Diamond asilaumiwe kwa uhuni huu na asikubali kufanya nao mkata mpya aje arudi Bongo akasubiri Fiesta.

Hakuna lugha iliyonicheeuwa humo kama kusikia eti kuna Investors kwenye show ya Diamond? Kwa hali hii na inatokea ulaya basi Le Mutuz wacha aitwe Billionare.

Mwenye picha za US Guy na Mr Shipping Guy mtuwekee hapa maana haya majina yameniacha hoi.
 
Yaani huko majuu hawa waafrica wana vituko/njaa , mimi nitabanana hapahapa kariakoo.
 
Babu tale arudie kazi yake ya ufundi baiskeli,domo akauze supu ya ngozi tandale
 
Huyu promoter ni wa huko huko germany?Maana hicho kingereza kimekaa kiswahili swahili?
 
Matola
Mkuu inawezekana hii ishu ya kutunga,Mr US Guy na Mr Shipping Guy sidhani wana-exist.
inaonekana walitaka kumzunguka Diamond ila akagoma kupanda jukwaani mpaka alipwe,hawa majamaa kuna kitu wanajua,ila wanaficha ukweli
 
Last edited by a moderator:
Viol

Haya mambo ya kutapeli wasanii nilijuaga hayapo tena.. Mondi kastuka fasta
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…