Utetezi wa Mbowe kwa Wanachadema

Utetezi wa Mbowe kwa Wanachadema

Makupa

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
6,822
Reaction score
4,034
Ni suala la muda tu kabla ya Mzee Mbowe kuchukua form ili atetee nafasi yake ya uwenyekiti ambayo alibadilisha katiba ili awe mwenyekiti wa kudumu.

Tutegemee yafuatayo toka kwa huyu Mzee:
1: Nilinyanganywa mali zangu na kufilisiwa
2: Nimewekwa mahabusu kwa ajili ya hiki chama,
3: Nimepigwa virungu kwa ajili ya hiki chama.

Kwa hiyo wanachadema wenzangu naombe ridhaa yenu ili niendelee kuteseka kwa qjili yenu. (Machawa utaona yatakavyoshangialia)
 
Sawa mkuu.
Ndiyo maana ni vema baada ya yeye kupigwa sana, kuharibiwa mali zake, kuwekwa rumande sana,

Sasa ni wakati muafaka wengine wampokee maumivu hayo, wawekwe mahabusu naye apumzike na mataabu hayo.
 
Utashanga hataki ,hivi kweli inangia akilini?
 
Back
Top Bottom