Mungu awajalie iwe hivyo.Mbowe hachukui fomu, na ndipo hapo watu watakapopatwa aibu na fedheha
Utashanga hataki ,hivi kweli inangia akilini?Sawa mkuu.
Ndiyo maana ni vema baada ya yeye kupigwa sana, kuharibiwa mali zake, kuwekwa rumande sana,
Sasa ni wakati muafaka wengine wampokee maumivu hayo, wawekwe mahabusu naye apumzike na mataabu hayo.