johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mkuu wa wilaya ni mteule wa Rais
Mkuu wa wilaya ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wilayani.
Ukifuatilia kilio cha aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai mh Ole sabaya kuanzia Ijumaa hadi leo utagundua kuwa tunahitaji katiba mpya chap kwa haraka.