Yeye alimtaja Magufuli kama mamlaka yake ya uteuzi
Marehemu hawezi kujitetea, wajitetee waliokuwa wasaidizi wake amabao wapo hai na wapo madarakani.Lengai Ole Sabaya, aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, ameanza kujitetea kwenye kesi yake ya jinai yenye sura ya uporaji, kujeruhi na kutesa.
Soma hapa >> Utetezi wa Sabaya: Amwangushia zigo Hayati Magufuli na kudai Gavana Luoga na Makamu wa Rais Dkt. Mpango walifahamu
Utetezi wake, kadiri nilivyomsikiliza, naugawa kwenye sehemu zifuatazo.
Mosi, yapo aliyoyakiri. Amekiri kufika sehemu ya tukio kwa kutaja jina hilohilo na mahali palepale. Na akamtaja mmiliki huyohuyo ambaye ametajwa kwenye mashtaka na ushahidi. Hapa, ana kazi ya kukanusha kiushahidi kutofanya yote anayoshtakiwa nayo.
Pili, amesema kuwa alifanya aliyoyafanya akitekeleza maagizo ya mamlaka ya uteuzi. Ameeleza kuwa alikuwa sehemu ya tukio kutekeleza maagizo ya mamlaka ya uteuzi. Hapa, Sabaya atapaswa kuwasilisha maagizo hayo ili kuona kuwa hakuvuka mipaka. Maagizo husika lazima yawasilishwe mahakamani ili aaminike. Nyaraka au sauti ni muhimu hapa.
Tatu, amejipambanua mahakamani kuwa yeye alikuwa zaidi ya Mkuu wa Wilaya. Kuwa yeye alikuwa akiongoza au kushiriki operesheni mbalimbali zilizokuwa zikiagizwa na mamlaka yake ya uteuzi. Hapa ndipo alipowataja Makamu wa Rais na Gavana wa Benki Kuu kama watu waliofahamu operesheni mojawapo iliyofanyika Dar es Salaam.
Kimsingi, hapo Sabaya anapaswa kuwasilisha ushahidi wa hilo kwa maana ya uteuzi wenye hadidu rejea za operesheni hizo pamoja na kuwapata aliowataja kama mashahidi wake. Waliotajwa wanapaswa kuja kukiri kufahamu operesheni hiyo ya Dar ambayo hatahivyo haisaidii wala haina uhusiano wowote na kesi husika huko Arusha.
Nne, Sabaya amedai kuwa yeye bado ni mtumishi wa serikali. Hakusema ni kwa nafasi ipi na ana majukumu gani. Hilo nalo anapaswa aliweke sawa kwa ushahidi.
Kiujumla, utetezi wa Sabaya umetanua sana uwanja na kumuweka kwenye kazi ngumu sana kuchomoka kwenye kesi yake. Ameanzisha mambo mengi yanayohitaji ushahidi. Na ushahidi mwingine wa maneno hautapatikana kwakuwa yeye mwenyewe amekataa kuwataja alioambatana nao kwenda sehemu ya tukio siku husika. Pia, mamlaka yake ya uteuzi haipo tena.
Mahakamani kunahitajika ushahidi wa kuthibitisha unachokisema. Unaweza kuwa wa nyaraka, maneno au vyote. Ushahidi mzuri ni wa wengine wanaokuja kuushadidia ushahidi wako. Kunapokosekana ushahidi, maneno yanabaki porojo isiyo na maana yoyote.
Ushahidi wa voice not ya Mh Rais?hoja za sabaya hazina ushahidi, inabidi alete ushahidi kuthibitusha utetezi wake
Sabaya hajamtaja Philipo Mpango na Luoga kama wanafahamu operation ya Arusha! Aliwataja kuthibitisha kama operation za namna ile ambazo anafanya nje ya eneo lake lakiutawala sio ya kwanza kwani aliifanya pia Dar eneo la Chanika huku watu tajwa hapo juu wakiwa wanafahamu kuwa Sabaya kuna kazi anaifanya Chanika.Tumia akili kudigest info, Sabaya hajakiri kupiga au kufanya unyang'anyi wa siraha. Amekiri kuwepo Arusha kwa operation maalumu kudeal na wahujumu uchumi. Na anadai alitulwa na hayati JPM huku waziri wa fedha akiwa anafahamu. Sasa kwa nini Mpango asitoe ushahidi.
hivyo yanUshahidi wa voice not ya Mh Rais?
Hivi we mwanasheria njaa unajua kuanalyze facts? Amekiri kuhusika na operation dhidi ya ujujumu uchumi ndio maana anadai alitumwa kwa kazi maalumu, hajakiri kushiriki ujambazi.
Kama mwanasheria ebu tupe ingredients za armed robbery alafu oanisha na tukio la Sabaya. Acha ushabiki
Unaposema mamlaka yake ya uteuzi haipo una maanisha nini?Lengai Ole Sabaya, aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, ameanza kujitetea kwenye kesi yake ya jinai yenye sura ya uporaji, kujeruhi na kutesa.
Soma hapa >> Utetezi wa Sabaya: Amwangushia zigo Hayati Magufuli na kudai Gavana Luoga na Makamu wa Rais Dkt. Mpango walifahamu
Utetezi wake, kadiri nilivyomsikiliza, naugawa kwenye sehemu zifuatazo.
Mosi, yapo aliyoyakiri. Amekiri kufika sehemu ya tukio kwa kutaja jina hilohilo na mahali palepale. Na akamtaja mmiliki huyohuyo ambaye ametajwa kwenye mashtaka na ushahidi. Hapa, ana kazi ya kukanusha kiushahidi kutofanya yote anayoshtakiwa nayo.
Pili, amesema kuwa alifanya aliyoyafanya akitekeleza maagizo ya mamlaka ya uteuzi. Ameeleza kuwa alikuwa sehemu ya tukio kutekeleza maagizo ya mamlaka ya uteuzi. Hapa, Sabaya atapaswa kuwasilisha maagizo hayo ili kuona kuwa hakuvuka mipaka. Maagizo husika lazima yawasilishwe mahakamani ili aaminike. Nyaraka au sauti ni muhimu hapa.
Tatu, amejipambanua mahakamani kuwa yeye alikuwa zaidi ya Mkuu wa Wilaya. Kuwa yeye alikuwa akiongoza au kushiriki operesheni mbalimbali zilizokuwa zikiagizwa na mamlaka yake ya uteuzi. Hapa ndipo alipowataja Makamu wa Rais na Gavana wa Benki Kuu kama watu waliofahamu operesheni mojawapo iliyofanyika Dar es Salaam.
Kimsingi, hapo Sabaya anapaswa kuwasilisha ushahidi wa hilo kwa maana ya uteuzi wenye hadidu rejea za operesheni hizo pamoja na kuwapata aliowataja kama mashahidi wake. Waliotajwa wanapaswa kuja kukiri kufahamu operesheni hiyo ya Dar ambayo hatahivyo haisaidii wala haina uhusiano wowote na kesi husika huko Arusha.
Nne, Sabaya amedai kuwa yeye bado ni mtumishi wa serikali. Hakusema ni kwa nafasi ipi na ana majukumu gani. Hilo nalo anapaswa aliweke sawa kwa ushahidi.
Kiujumla, utetezi wa Sabaya umetanua sana uwanja na kumuweka kwenye kazi ngumu sana kuchomoka kwenye kesi yake. Ameanzisha mambo mengi yanayohitaji ushahidi. Na ushahidi mwingine wa maneno hautapatikana kwakuwa yeye mwenyewe amekataa kuwataja alioambatana nao kwenda sehemu ya tukio siku husika. Pia, mamlaka yake ya uteuzi haipo tena.
Mahakamani kunahitajika ushahidi wa kuthibitisha unachokisema. Unaweza kuwa wa nyaraka, maneno au vyote. Ushahidi mzuri ni wa wengine wanaokuja kuushadidia ushahidi wako. Kunapokosekana ushahidi, maneno yanabaki porojo isiyo na maana yoyote.
Nimeyataja kwenye mada yangu. Uwe unasoma mada kabla ya kujadiliUnazidi kunishangaza Kama kweli wewe ni mwanasheria aise tena upo UDSM.
nijibu hili swali, kwenye hii kesi Sabaya anatakiwa kuthibitisha Nini!?
Mkuu unatia aibu na huruma. Umejifunza wapi kuwa utetezi hauhitaji ushahidi? Bure kabisa!Under which principle of crimimology Sabaya anatakiwa kuthibitisha hoja zake!?
Kwahiyo Mahakama itamkuta na hatia kwakuwa ameshindwa kuthibitisha hoja zake, ha ha ha ha ha UDSM, kweli uchawi upo nimeamini!Mkuu unatia aibu na huruma. Umejifunza wapi kuwa utetezi hauhitaji ushahidi? Bure kabisa!
Mr. Petro E. Mselewa hapa umeandika kama Mwanasheria kweli uliye huru.....Lengai Ole Sabaya, aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, ameanza kujitetea kwenye kesi yake ya jinai yenye sura ya uporaji, kujeruhi na kutesa.
Soma hapa >> Utetezi wa Sabaya: Amwangushia zigo Hayati Magufuli na kudai Gavana Luoga na Makamu wa Rais Dkt. Mpango walifahamu
Utetezi wake, kadiri nilivyomsikiliza, naugawa kwenye sehemu zifuatazo.
Mosi, yapo aliyoyakiri. Amekiri kufika sehemu ya tukio kwa kutaja jina hilohilo na mahali palepale. Na akamtaja mmiliki huyohuyo ambaye ametajwa kwenye mashtaka na ushahidi. Hapa, ana kazi ya kukanusha kiushahidi kutofanya yote anayoshtakiwa nayo.
Pili, amesema kuwa alifanya aliyoyafanya akitekeleza maagizo ya mamlaka ya uteuzi. Ameeleza kuwa alikuwa sehemu ya tukio kutekeleza maagizo ya mamlaka ya uteuzi. Hapa, Sabaya atapaswa kuwasilisha maagizo hayo ili kuona kuwa hakuvuka mipaka. Maagizo husika lazima yawasilishwe mahakamani ili aaminike. Nyaraka au sauti ni muhimu hapa.
Tatu, amejipambanua mahakamani kuwa yeye alikuwa zaidi ya Mkuu wa Wilaya. Kuwa yeye alikuwa akiongoza au kushiriki operesheni mbalimbali zilizokuwa zikiagizwa na mamlaka yake ya uteuzi. Hapa ndipo alipowataja Makamu wa Rais na Gavana wa Benki Kuu kama watu waliofahamu operesheni mojawapo iliyofanyika Dar es Salaam.
Kimsingi, hapo Sabaya anapaswa kuwasilisha ushahidi wa hilo kwa maana ya uteuzi wenye hadidu rejea za operesheni hizo pamoja na kuwapata aliowataja kama mashahidi wake. Waliotajwa wanapaswa kuja kukiri kufahamu operesheni hiyo ya Dar ambayo hatahivyo haisaidii wala haina uhusiano wowote na kesi husika huko Arusha.
Nne, Sabaya amedai kuwa yeye bado ni mtumishi wa serikali. Hakusema ni kwa nafasi ipi na ana majukumu gani. Hilo nalo anapaswa aliweke sawa kwa ushahidi.
Kiujumla, utetezi wa Sabaya umetanua sana uwanja na kumuweka kwenye kazi ngumu sana kuchomoka kwenye kesi yake. Ameanzisha mambo mengi yanayohitaji ushahidi. Na ushahidi mwingine wa maneno hautapatikana kwakuwa yeye mwenyewe amekataa kuwataja alioambatana nao kwenda sehemu ya tukio siku husika. Pia, mamlaka yake ya uteuzi haipo tena.
Mahakamani kunahitajika ushahidi wa kuthibitisha unachokisema. Unaweza kuwa wa nyaraka, maneno au vyote. Ushahidi mzuri ni wa wengine wanaokuja kuushadidia ushahidi wako. Kunapokosekana ushahidi, maneno yanabaki porojo isiyo na maana yoyote.
Wewe ndiyo huna akili, Sabaya hawezi kutumia defence ya Magufuli bila ushahidi wa maandishi. Mpango kujuwa uwapo wa operesheni siyo ruksa kwa Sabaya kufanya jinai. Amekiri kuwapo kwenye duka lililotajwa na amekiri kumkuta mtu anayedaiwa kupigwa na kunyang'anywa fedha.Tumia akili kudigest info, Sabaya hajakiri kupiga au kufanya unyang'anyi wa siraha. Amekiri kuwepo Arusha kwa operation maalumu kudeal na wahujumu uchumi. Na anadai alitulwa na hayati JPM huku waziri wa fedha akiwa anafahamu. Sasa kwa nini Mpango asitoe ushahidi.
kwani kazi za kiintelijesia tena ukiwa umetumwa na mamlaka yako ya uteuzi tena taasisi ya urais zinahitaji kibali kutoka eneo linalopelelezwa? mwenye wajibu wa kutoa kibali si mh.rais mwenyewe? nani mwingine mwenye mamlaka ya kupinga agizo la mh.raisSabaya ameshajimaliza, kitendo chake cha kukiri kuwepo eneo la tukio hata kama anadai alitumwa na mamlaka husika kujinasua kwake itakuwa vigumu, je, alifuata sheria kuingia eneo la mwingine? alikuwa na kibali? kama hakuwa nacho hakuwa na tofauti na jambazi alietumia silaha kufanya uvamizi, hapa Sabaya ameshakiri kosa.
Kwamba alichokisema mahakamani ni kweli na kweli tupu, siyo uongo.Unazidi kunishangaza Kama kweli wewe ni mwanasheria aise tena upo UDSM.
nijibu hili swali, kwenye hii kesi Sabaya anatakiwa kuthibitisha Nini!?
Hakuna mkuu. Kikubwa ni yeye kuthibitisha aliagizwa na alitekeleza alivyoagizwa bila kutenda jinaiMr. Petro E. Mselewa hapa umeandika kama Mwanasheria kweli uliye huru.....
Asante sana, umeliweka jambo very clear kisheria. Hata hivyo mimi nina swali moja kwako...
Kwamba, suppose akaweza kuthibitisha maelezo yake kwa ushahidi utakaokubalika mahakamani....
Je, kuna sheria inayomlinda mtu baki kama Sabaya a mere District Commissioner asiye na kinga yoyote ya kisheria au kikatiba aliyetumwa na "mamlaka yake ya juu yenye kinga ya kisheria/kikatiba" kutenda uhalifu wa kijinai yeye mwenyewe personally...?
Kama ndivyo ilivyo, wanasheria wake wanaomtetea wamefikiri nini hata kumwongoza mteja wao kujitetea katika namna hii..?Hakuna mkuu. Kikubwa ni yeye kuthibitisha aliagizwa na alitekeleza alivyoagizwa bila kutenda jinai
Madai ya Sabaya naweza kuyafananisha na tukio la kupigwa risasi Tundu Lissu. Hivi wale waliompiga risasi TL wakifahamika na kufikishwa mahakamani, je wakijitetea kuwa walipata maagizo kutoka juu utetezi huo utawasaidia? Hapana hauwezi kuwasaidia.Hapa ndio utaona logic ya ndg Kibatala kuhusu kuistaki taasisi maana kwa kesi Kama ya sabaya hiyo taasisi itaweza kuingilia mahakama
Lengai Ole Sabaya, aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, ameanza kujitetea kwenye kesi yake ya jinai yenye sura ya uporaji, kujeruhi na kutesa.
Soma hapa >> Utetezi wa Sabaya: Amwangushia zigo Hayati Magufuli na kudai Gavana Luoga na Makamu wa Rais Dkt. Mpango walifahamu
Utetezi wake, kadiri nilivyomsikiliza, naugawa kwenye sehemu zifuatazo.
Mosi, yapo aliyoyakiri. Amekiri kufika sehemu ya tukio kwa kutaja jina hilohilo na mahali palepale. Na akamtaja mmiliki huyohuyo ambaye ametajwa kwenye mashtaka na ushahidi. Hapa, ana kazi ya kukanusha kiushahidi kutofanya yote anayoshtakiwa nayo.
Pili, amesema kuwa alifanya aliyoyafanya akitekeleza maagizo ya mamlaka ya uteuzi. Ameeleza kuwa alikuwa sehemu ya tukio kutekeleza maagizo ya mamlaka ya uteuzi. Hapa, Sabaya atapaswa kuwasilisha maagizo hayo ili kuona kuwa hakuvuka mipaka. Maagizo husika lazima yawasilishwe mahakamani ili aaminike. Nyaraka au sauti ni muhimu hapa.
Tatu, amejipambanua mahakamani kuwa yeye alikuwa zaidi ya Mkuu wa Wilaya. Kuwa yeye alikuwa akiongoza au kushiriki operesheni mbalimbali zilizokuwa zikiagizwa na mamlaka yake ya uteuzi. Hapa ndipo alipowataja Makamu wa Rais na Gavana wa Benki Kuu kama watu waliofahamu operesheni mojawapo iliyofanyika Dar es Salaam.
Kimsingi, hapo Sabaya anapaswa kuwasilisha ushahidi wa hilo kwa maana ya uteuzi wenye hadidu rejea za operesheni hizo pamoja na kuwapata aliowataja kama mashahidi wake. Waliotajwa wanapaswa kuja kukiri kufahamu operesheni hiyo ya Dar ambayo hatahivyo haisaidii wala haina uhusiano wowote na kesi husika huko Arusha.
Nne, Sabaya amedai kuwa yeye bado ni mtumishi wa serikali. Hakusema ni kwa nafasi ipi na ana majukumu gani. Hilo nalo anapaswa aliweke sawa kwa ushahidi.
Kiujumla, utetezi wa Sabaya umetanua sana uwanja na kumuweka kwenye kazi ngumu sana kuchomoka kwenye kesi yake. Ameanzisha mambo mengi yanayohitaji ushahidi. Na ushahidi mwingine wa maneno hautapatikana kwakuwa yeye mwenyewe amekataa kuwataja alioambatana nao kwenda sehemu ya tukio siku husika. Pia, mamlaka yake ya uteuzi haipo tena.
Mahakamani kunahitajika ushahidi wa kuthibitisha unachokisema. Unaweza kuwa wa nyaraka, maneno au vyote. Ushahidi mzuri ni wa wengine wanaokuja kuushadidia ushahidi wako. Kunapokosekana ushahidi, maneno yanabaki porojo isiyo na maana yoyote.
Do you think kuna mtu aliyeko kwenye taasisi ya urais atakubali kwenda kukubali kuwa NI KWELI TAASISI HIYO ILIMTUMA SABAYA AKAFANYE ALIYO YAFANYA TENA MENGINE MBELE YA KAMERA? AKITOKEA MTU WA AINA HIYO BASI MAANA YAKE THEY DO NO DESERVE TO BE THERE.Thanks Mkuu, I was about to ask the same question [emoji780]
Urais sio mtu Urais ni Taasisi
Sent from my TECNO KD7h using JamiiForums mobile app