Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Uteuzi umetoka kwa nani ndani ya serikali. Au niseme nani kamteua๐๐๐.kwa hiyo ataendelea kuwa afisa habari wa yanga au ataachia nafasi moja au zote mbili kwa pamoja .nafasi hiyo mara ya kwanza ilikuwa inashikiliwa na nani Au ni kitengo kipya.samahani lakini kwa kuuliza hivyo na msianze kunitukana matusi
Unaelewa maana ya balozi lakini?Uteuzi umetoka kwa nani ndani ya serikali. Au niseme nani kamteua๐๐๐.kwa hiyo ataendelea kuwa afisa habari wa yanga au ataachia nafasi moja au zote mbili kwa pamoja .nafasi hiyo mara ya kwanza ilikuwa inashikiliwa na nani Au ni kitengo kipya.samahani lakini kwa kuuliza hivyo na msianze kunitukana matusi
Usivyo na akili ukisikia uteuzi unawaza kuingia ofisini na kupata posho bila jashoUteuzi umetoka kwa nani ndani ya serikali. Au niseme nani kamteua๐๐๐.kwa hiyo ataendelea kuwa afisa habari wa yanga au ataachia nafasi moja au zote mbili kwa pamoja .nafasi hiyo mara ya kwanza ilikuwa inashikiliwa na nani Au ni kitengo kipya.samahani lakini kwa kuuliza hivyo na msianze kunitukana matusi