Uteuzi BAKWATA wa Masheikh wa mikoa, Makadhi, Makatibu wa makadhi na makatibu mabaraza ya masheikh wa mikoa

Masha Allah


hongera sana kwa wateuliwa wote
 
Hivi bakwata ina operate ama ina operation system kama za serikali?

Aisee sikuwahi kujua.
 
Mbona wote ni Waislamu? Ina maana hakuna wakristo wenye sifa za kufanya hizo kazi? Na wanaapishwa lini ili tujue
 
Huo ni ubaguzi wa wazi wazi lazima na wakristo wawe wanateuliwa kwenye hizo nafasi
 
Hivi huyo Alhadi Musa Salum ana msaada gani kwa Waislamu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…