Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Uteuzi huo wa Bi Yvonne Cherrie almaarufu Monalisa kuwa Msemaji wa Klabu ya Wanawake ya Simba (Simba Queen) unaanza mara moja.
Kabla ya Uteuzi huo Bi Monalisa alijishughulisha na mambo mbalimbali ya Sanaa ikiwemo Uigizaji.
Mteuliwa huyo ameshatambulishwa rasmi na Uongozi wa Klabu ya Simba tayari kabisa kuanza utekelezaji wa majukumu yake.
Simba