Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Kapelekwa kwenye mapishiKwani Manara amestaafu kuwasemea wenzake?
Amekua mpishi mkuuManara wamempeleka wapi!?
Unaota mzee huu siyo wakati wa uchaguzi.Kidumu Chama cha Mapinduzi!
Hahahaaaa........!Unaota mzee huu siyo wakati wa uchaguzi.
Kateuliwa na Fatma Dewji?Uteuzi huo wa Bi Yvonne Cherrie almaarufu Monalisa kuwa Msemaji wa Klabu ya Wanawake ya Simba (Simba Queen) unaanza mara moja.
Kabla ya Uteuzi huo Bi Monalisa alijishughulisha na mambo mbalimbali ya Sanaa iliwemo Uigizaji
Mteuliwa huyo ameshatambulishwa rasmi na Uongozi wa Klabu ya Simba tayari kabisa kuanza utekelezaji wa majukumu yake.
Simba
[emoji23][emoji23][emoji23]Kateuliwa na Fatma dewji?
Mambo mengine huwa unajitafutia kwa kuwashwa tu watu tumetulia hatutaki shida kwa sasa unatuletea n'ya n'ya na maccm yakoKidumu Chama cha Mapinduzi!