Huko kwenye uongozi wa boards, that's where the Senior Citizens belong.Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Kanali Mstaafu, Joseph Leon Simbakalia kuwa Mwenyekiti wa Bodi Tendaji ya Kampuni ya Ranchi za Taifa (NARCO)
Simbakalia ni Mhandisi wa Jeshi Mstaafu kutoka Kikosi cha Wahandisi wa Umeme na Mitambo wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ)
Amewahi kushika nyadhifa nyingine za juu kwa kuteuliwa na Rais katika Serikali zikiwemo Ukuu wa Mkoa, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Maendeleo la Taifa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maeneo Maalum ya Uzalishaji kwa Mauzo ya Nje (EPZA)
Aliwahi kutunukiwa nishani na papa ya utumishi bora ndani ya kanisa... huyu jamaa anateuliwa toka niko STD III hadi leo anapiga teuzi! Dah!
Ni tamaduni za kijinga. Mtu hata hajui mifugo anafanya nini kwenye bodi ya NARCO.Hivi ni lazima Bodi zote nchini kuongozwa na wastaafu!!! Huu utamaduni naona kama hauna tija yoyote ile kwa Taifa. (Huu ni mtazamo wangu tu lakini).
VIJANA MACHAWA WA CCM SUBIRINI MKIZEEKA NDIO MTATEULIWA KWA SASA TEUZI NI ZA WASTAAFU NYIE ENDELEENI NA UCHAWARais Samia Suluhu Hassan amemteua Kanali Mstaafu, Joseph Leon Simbakalia kuwa Mwenyekiti wa Bodi Tendaji ya Kampuni ya Ranchi za Taifa (NARCO)
Simbakalia ni Mhandisi wa Jeshi Mstaafu kutoka Kikosi cha Wahandisi wa Umeme na Mitambo wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ)
Amewahi kushika nyadhifa nyingine za juu kwa kuteuliwa na Rais katika Serikali zikiwemo Ukuu wa Mkoa, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Maendeleo la Taifa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maeneo Maalum ya Uzalishaji kwa Mauzo ya Nje (EPZA)
Isiyo kongwe HAIVUSHI....Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Kanali Mstaafu, Joseph Leon Simbakalia kuwa Mwenyekiti wa Bodi Tendaji ya Kampuni ya Ranchi za Taifa (NARCO)
Simbakalia ni Mhandisi wa Jeshi Mstaafu kutoka Kikosi cha Wahandisi wa Umeme na Mitambo wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ)
Amewahi kushika nyadhifa nyingine za juu kwa kuteuliwa na Rais katika Serikali zikiwemo Ukuu wa Mkoa, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Maendeleo la Taifa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maeneo Maalum ya Uzalishaji kwa Mauzo ya Nje (EPZA)
Tumeshajiandaa kisaikolojia....VIJANA MACHAWA WA CCM SUBIRINI MKIZEEKA NDIO MTATEULIWA KWA SASA TEUZI NI ZA WASTAAFU NYIE ENDELEENI NA UCHAWA
Rushwa za uongozi ni kansaRais Samia Suluhu Hassan amemteua Kanali Mstaafu, Joseph Leon Simbakalia kuwa Mwenyekiti wa Bodi Tendaji ya Kampuni ya Ranchi za Taifa (NARCO)
Simbakalia ni Mhandisi wa Jeshi Mstaafu kutoka Kikosi cha Wahandisi wa Umeme na Mitambo wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ)
Amewahi kushika nyadhifa nyingine za juu kwa kuteuliwa na Rais katika Serikali zikiwemo Ukuu wa Mkoa, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Maendeleo la Taifa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maeneo Maalum ya Uzalishaji kwa Mauzo ya Nje (EPZA)
Kipiganie ila usilalamike AJIRA wacha Wastaafu wagonge KEKI ya Taifa vijana mtakula kwa Macho mbwa nyieTumeshajiandaa kisaikolojia....
Nikiwa hai nitateuliwa miaka 30 ijayo aaamin [emoji120]
Siachi kukipigania chama...
#Kidumu CCM[emoji120]
Sawa sawa mkuu,huyu mzee kitambo yuko ktk teuzi,ashakua hadi RC... huyu jamaa anateuliwa toka niko STD III hadi leo anapiga teuzi! Dah!
Huyu dingi kitambo sanaViongozi wa tz huwa hawastaafugi
Ova
Hawa vijana wa zamani wa TANU bado wanaendelea kuula.Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Kanali Mstaafu, Joseph Leon Simbakalia kuwa Mwenyekiti wa Bodi Tendaji ya Kampuni ya Ranchi za Taifa (NARCO)
Simbakalia ni Mhandisi wa Jeshi Mstaafu kutoka Kikosi cha Wahandisi wa Umeme na Mitambo wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ)
Amewahi kushika nyadhifa nyingine za juu kwa kuteuliwa na Rais katika Serikali zikiwemo Ukuu wa Mkoa, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Maendeleo la Taifa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maeneo Maalum ya Uzalishaji kwa Mauzo ya Nje (EPZA)
Kwa teuzi za namna hii Mama hatomaliza kupanga serikali, manake kama vile lipo kundi ambalo lazima wawe katika uongozi ije jua au mvua. Kama kuna vitu CCM wana feli ni hili kundi waliloliandaa ambalo lazima liwemo katika kuongoza hata kama mtaa. NARCO ilitaka mtu kama ASAS ambaye anazo records of accomplishment sokoni hasa katika kujua mahitaji ya soko ndani na nje katika dunia ya leo. CV hii ukisoma unaona hamna ubunifu na mabadiliko yeyote NARCO yatakayo vuka expectations za tasnia hapa nchini zaidi ni beuracracy mwingine kashika hatamu.Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Kanali Mstaafu, Joseph Leon Simbakalia kuwa Mwenyekiti wa Bodi Tendaji ya Kampuni ya Ranchi za Taifa (NARCO)