Uteuzi: Mkurugenzi wa zamani wa Shirika la Bima ateuliwa kuwa Kamishna wa NCAA

Uteuzi: Mkurugenzi wa zamani wa Shirika la Bima ateuliwa kuwa Kamishna wa NCAA

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Elirehema Joshua Doriye kuwa Kamishna wa Uhifadhi, Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la #Ngorongoro (#NCAA)

Dkt. Doriye anachukua nafasi ya Richard Rwanyakaato Kiiza, ambaye aliondolewa katika nafasi hiyo Machi 15, 2024

Aidha, Christopher Derek Kadio ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali. Anachukua nafasi ya Esther Hellen Lugwisha aliyemaliza muda wake.

Screenshot_2024-05-06-19-51-48-958_com.instagram.android-edit.jpg
 
Back
Top Bottom