Uteuzi na Utenguzi: Dkt. Kihamia ateuliwa kuwa Mtendaji Mkuu wa DART, Kuji awa Kamishna wa Uhifadhi wa TANAPA

Mwendokasi si mwendokasi. Itafutiwe jina sahihi.
 
Kihamia anaweza kweli hata kusimamia biashara ya daladala moja??
Sidhani kama anajua lolote kuhusiana na biashara ya usafiri au logistics.
 
Nadhani ielewekwe kwamba PhD sio kigezo cha utendaji.

Utendaji bora unahitaji vitu vingu ikiwemo Ubunifu, uwezo wa kufanya maamuzi, ushirikashaji wadau, usimamizi, kutambua unataka nini na lini na kwanini etc
 
Nafasi inayohitaji mtu mwenye exposure na transport business anakuja kuwekwa mwana Bakwata aliyekuwa katibu Tawala...Huyu hana cha kufanya zaidi kuleta siasa au kisa ana PHD
 
Hivi Mhede muislam au mkristo?

Maana hii miislam na elimu Yao ya madrasa ni bure kbs...
Edwin Mhede

Pili usimbague mtu ama kuweka taathira ya ubaguzi kwa misingi ya dini, imani, kabila, itikadi na hali yake
 
Mhhh MHEDE ana shida gani?mbona kila sehemu anashindwa kuperform?alikua TRA katolewa, now DART katolewa kabakisha tu uwenyekiti wa bodi ya NMB!ila Samia alitakiwa kumteua mtu mwenye vision ya biashara sio hawa kina Kihamia (wanasiasa hawa hawana jambo jipya)achomoe mtu huko ktk mabank/kampuni za simu etc!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…